Dc Albert Msando wa Handeni aamuru Kukatamatwa Kwa mwandishi wa ITV na kufutwa kwa alichorekodi

Lissu anasemaje?
images (1).jpeg
 
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.

Huyu akutakiwa kuwa kwa ofisi by sunrise ,
 
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.

Naona haya majina ya Albert yana matatizo, yule Albert wa Dar es salaam juzi kuzungumza maneno ya kipumbavu Sasa huyo albert wa handeni na yeye anagombana na waandishi wa habari , jamani akina Albert mna matatizo gani?!
 
Kuna shida mahala na majina ya ALBERT
Mf albert msando, albert chalamila
 
Back
Top Bottom