Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Msando hakuwa amelewa?Ni ujinga uliopindukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msando hakuwa amelewa?Ni ujinga uliopindukia.
Wanataka tufukue ya zamani ili waanze kututekaNadhani atakuwa alilewa nikukumbuka ile video ya giggy money 🥲
Msando kabla ya kwenda ccm alikuwa na akili timamu. Kaenda huko yulo sawa na aliowakuta!Huyu DC ni akili zero!
Yeye atoe habari za kukanusha habari za ITV, otherwise ana ingilia uhuru wa habari!
Kwenye rasimu ya kariba ya Tume ya Warioba imependekezwa hiki cheers kifutwe.
Anataka akuoeLissu anasemaje?
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.
Anaweza? Si anapenda wazunguAnataka akuoe
Kwamba ashindwe kukuoa wewe?Anaweza? Si anapenda wazungu