TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Simon Simalenga, ameongoza vyombo vya dola kuvamia sherehe ya kumuozesha mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Igaganulwa iliyopo Kata ya Dutwa wilayani humo, aliyelipiwa mahari ya ng'ombe 16 kinyume na sheria.
Sherehe hiyo imesitishwa huku watu watatu baba mlezi wa binti, dada na mume mtarajiwa wakikamatwa kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Soma Pia:
Sherehe hiyo imesitishwa huku watu watatu baba mlezi wa binti, dada na mume mtarajiwa wakikamatwa kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Soma Pia:
- Aliyeozesha mwanafunzi kwa ng'ombe 15 azitema
- Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa