shila 68
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 860
- 1,703
Faida ipi unayoizungumzia hapa duniani kila mtu atapita na njia zake elimu aliyo ipata mpaka kufikia hapo inatosha kuongoza maisha yake siyo kila mtu lazma awe na PHDJitahid kuficha aibu ndogo ndogo halafu ww itakua shule kchwani mwako hamna inamaana hadi leo hujui faida ya elimu
Hata wewe mwenye shule kichani mwako unashindwa kuchanganua mambo madogo kama haya elimu yako haijakusaidia chochote zaidi ya kukalili elimu ni ufunguo wa maisha