DC Bariadi aingiia kati sherehe ya harusi ya mwanafunzi na kuwakamata wanao husika

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Simon Simalenga, ameongoza vyombo vya dola kuvamia sherehe ya kumuozesha mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Igaganulwa iliyopo Kata ya Dutwa wilayani humo, aliyelipiwa mahari ya ng'ombe 16 kinyume na sheria.

Sherehe hiyo imesitishwa huku watu watatu baba mlezi wa binti, dada na mume mtarajiwa wakikamatwa kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Soma Pia:

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Simon Simalenga, ameongoza vyombo vya dola kuvamia sherehe ya kumuozesha mwanafunzi wa kidato cha nne😂😂😂😂
 SERIOUSLY!?😂
 

hamlali, kubalini tu ukweli kwamba culture yenu imeoza, ingawaje inawezekana hata hili ni la kutengeneza lkn bado kuna tofauti kubwa kati ya umalaya na pornography ya muslim ( kwa sababu wamevaa hijab) teenage school girls wakitukana matusi pornography live vs huyo binti wa kidato cha 4 huko shy (ambaye kwa kawaida atakuwa tayari 18 au hata zaidi) kuolewa hakuna uhusiano na maadili mabaya siyo kama kutukana na kucheza uchi.

hivyo najua mnapambana kutafuta matukio ambaya yatawapa ahueni na kujifariji kutaka kujaribu kusawazisha lkn it doesnt solve the problem acheni kuchezea fedha za walipa kodi kwenye anasa na badala yake wekezeni kwenye welfare of the people, mnapoteza mabilioni kwenye mipira, umiss, magari ya kifahari wakati wananchi wanataabika na kuangamia.

hawa teenage girls wameivua ngua hii regime, pure evil ...
 
Huyo DC nitamuona mwenye maana kama Kila anayeacha masomo awe wa kike au wa kiume atahakikisha anarudi shule.

Siku hizi ni jambo la kujisikia tu mwanafunzi kuacha shule na kuolewa. Vitoto vinaacha shule vikiwa form one na kuolewa. Wa kiume wanaacha na kuanza kujihusisha na ama Bodaboda, kuvuka samaki, kulima, madini n.k.
 
Well said…..
 
Mbona hàka kamsimu kanà mambo mengi kama kale ka kuelekea chafuzi na msìu ŵake!
 


Muasisi ya mambo haya
 
umemsikiliza vizur waliomuzesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…