DC Bariadi aingiia kati sherehe ya harusi ya mwanafunzi na kuwakamata wanao husika

Jitahid kuficha aibu ndogo ndogo halafu ww itakua shule kchwani mwako hamna inamaana hadi leo hujui faida ya elimu
Faida ipi unayoizungumzia hapa duniani kila mtu atapita na njia zake elimu aliyo ipata mpaka kufikia hapo inatosha kuongoza maisha yake siyo kila mtu lazma awe na PHD
Hata wewe mwenye shule kichani mwako unashindwa kuchanganua mambo madogo kama haya elimu yako haijakusaidia chochote zaidi ya kukalili elimu ni ufunguo wa maisha
 
Ww na huyo wote ni wale wale
 
Aisee alaf jamaa jitu zima kabisa..

Kweli haya masukuma ya ovyo yanatuaibisha
 
Unajua Sheria ya Tanzania inaruhusu ndoa kwa watoto wa kike hadi wa miaka 14 na watu wanaoongoza kupinga hii Sheria kubadilishwa ni masheikh??
 
Unajua Sheria ya Tanzania inaruhusu ndoa kwa watoto wa kike hadi wa miaka 14 na watu wanaoongoza kupinga hii Sheria kubadilishwa ni masheikh??
Kwahiyo masheikh ndio wamemlazimisha huyo mkristo wa kisukuma amuoze mwanae kwa mahari ya ng'ombe 16?
 
Unajua Sheria ya Tanzania inaruhusu ndoa kwa watoto wa kike hadi wa miaka 14 na watu wanaoongoza kupinga hii Sheria kubadilishwa ni masheikh??
Sasa sheria mtunge wenyewe watu wakizifuata muwaone wabaya unajielewa kweli?
 
Form 4 ipi tena? Si wameshahitimu toka wiki iliyopita?

Matoto majingamajinga kama yale ya Aboud J si heri yakapitiliza kuolewa kuliko kuja mtaani kupora mabwana za watu!!

BTW: Sheria inayoruhusu mtoto wa 15yrs kuolewa kwa ridhaa ya wazazi yenyewe wala haiguswi,ipo vilevile tu.
 
Libaba likubwa lina kitambi linaoa mtoto. Ukiachana na yote najaribu kufikiria hata ufanyikaji wa lile tendo
 
Hata zile takwimu za mimba za utotoni zimeonesha wabara bado sana..Pwani ndiyo mjini tending zote ziko huko ,unaonq wanavyozubaa na video za watoto wakicheza ..Wanaweza kusahau kwenye kuombea waathirika wa oktoba 29๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Pwani watoto wajanja ,huko bara wanapifwa mimba kizembe.
 
Wewe mlokole uliona waliovaa hijabu tuu?
 
Kabisa yani wakija Pwani ndio wanafundishwa ujanja.
 
Kucheza uchi ni kupi?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…mtu anaenda kanisani kavaa uchi ,nyie mnacheza ndani ya kabisa kabisa kama ibada๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Waislamu wakiolewa Katika umri huo ,mnasema ni wadogo tena kwa kejeli..Mbona haueleweki kama sigara nyota? Hujui uwashwe upande gani?

Unaujua uchi wote kama ni uchi kwa mujibu wa uislamu ,makanisa yote asilimia 95 mnakaa uchi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Karudie kuziangalia zile video aibu utaona wewe
 
Kidato cha nne si ndio wamemaliza shule?
 
Trust me bro!SERIKALI IMEMNYANG'ANYA TONGE MDOMONI HUYO BINTI!
Shule siku hizi Haina maana Tena,wanamkomalia afike Hadi chuo kikuu ili aje ageuke chakula Chao๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ