Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Hassan Bomboko ameeleza kuwa huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama katika wilaya hiyo imeaimarika kwakiasi kikubwa katika kipindi cha miaka mine ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwani Zaidi ya Shilingi bilioni 10 zimepelekwa wilayani humo kwenda kuimarisha upatikanaji wa huduma hiyo.
Amesema kuwa kwasasa katika vijiji 62 vilivyomo wilayani humo vimefikiwa na maji kwa 89% hivyo katika wilaya hiyo Rais Samia hana deni na wananchi wawilaya hiyo kwenye sekta ya maji kwani suala la maji kwa wilaya ya Hai siyo changamoto tena.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameeleza hayo leo Jumatano Machi 19, 2025 kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya maji wilayani humo iliyoandaliwa na Bodi ya Maji ya Uroki Bomang’ombe