johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwamba aliongea na taifa jana?Akili za wana ccm mnazijua nyinyi wenyewe
DC ameeleweka!Kusafirisha binadamu sio kosa, kosa ni kusafirisha binadamu kinyume na sheria/taratibu kwenye baiskeli yenye magurudumu 2/3.
Mfano; Gari, bajaji, pikipiki zina taratibu ila hizo zingine za magurudumu hazina utaratibu huo tajwa, ispokua kama zinatumika kwa muhusika kwa kusudi kusudiwa
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Chongolo amesema wale wote waliokamatwa katika zoezi la kukamata wanaowatumikisha walemavu wametenda kosa la jinai.
Chongolo amesema wahusika wa miradi hii watashtakiwa kwa kosa la kusafirisha binadamu.
Walemavu waliokamatwa wengi wanatoka mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Geita na wachache wametokea Kigoma na Kagera.
Kwa sasa uchunguzi unaendelea ukihusisha wizara ya Tamisemi, Mambo ya ndani, Katiba na Sheria pamoja na ofisi ya Waziri mkuu.
Mahojiano yako mubashara Channel ten yakimuhusisha pia Naibu waziri Ummy anayeshughulikia walemavu.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Kamuulize yeyeMwamba aliongea na taifa jana?
Kwani wewe umeunga juhudi?!Kamuulize yeye
Sio kosa kuwa omba omba!Hii tabia hata mimi nimeichoka, hao walemavu miaka yote wanatembezwa tu hawapati mitaji wafanye biashara? au wameshageuza kuomba omba ndio biashara yao, haina kuwekeza mtaji, ni faida tu kila siku.
Wamekuwa too much, ukiwa kwenye gari wanagonga dirishani, ukienda bar wapo, barabarani ukitembea wapo, sasa kwa siku tuwasaidie wangapi? au ndio tuanze kutembea na "budget" ya walemavu, usawa unakaba jama.
Kusafirisha binadamu sio kosa, kosa ni kusafirisha binadamu kinyume na sheria/taratibu kwenye baiskeli yenye magurudumu 2/3.
Mfano; Gari, bajaji, pikipiki zina taratibu ila hizo zingine za magurudumu hazina utaratibu huo tajwa, ispokua kama zinatumika kwa muhusika kwa kusudi kusudiwa.
Aeleze kwanza bajeti ya kuwahudumia walemavu ni shilingi ngapi kwa mwaka???? Inayotengwa na serikaliDC ameeleweka!
Aliyesema wanaotembeza walemavu ni ccm Nani? Nyumbu hovyo kabisa.Akili za wana CCM mnazijua nyinyi wenyewe
Kwa wilaya ya Kinondoni ni kati ya tsh milioni 600 hadi 800!Aeleze kwanza bajeti ya kuwahudumia walemavu ni shilingi ngapi kwa mwaka???? Inayotengwa na serikali
Kuna kisa kimoja nilikiona nikasema sitakuja kumpa hela ombaomba. Nitatoa msaada hospitali, jela na vituo vya yatima na wazeeUtakuta jitu mbavumbavu kutwa linazurura na mlemavu kwenye mabaa kama ni ndugu yake si amuache nyumbane afanye kazi akamuhudumie?? aisee wasakwe wakamatwe naunga mkono hoja
Nyumbu ni wale walio amua kukutafutia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.Aliyesema wanaotembeza walemavu ni ccm Nani? Nyumbu hovyo kabisa.
PumbafKwani wewe umeunga juhudi?!