DC Chongolo: Wanaowatembeza walemavu mitaani wanaweza kushtakiwa kwa kosa la kusafirisha binadamu!

DC Chongolo: Wanaowatembeza walemavu mitaani wanaweza kushtakiwa kwa kosa la kusafirisha binadamu!

Mkakati serikali ukoje sio kufunga tu watu jela na mikesi ya kishamba. Waseme wao wamewasaidiaje walemavu
 
Utakuta jitu mbavumbavu kutwa linazurura na mlemavu kwenye mabaa kama ni ndugu yake si amuache nyumbane afanye kazi akamuhudumie?? aisee wasakwe wakamatwe naunga mkono hoja
Wewe mwenyewe ubaweza kuwa mlemavu kesho tu ndio utakuja madhira wanayooitia walemavu nchi hii.
 
Bwahaaa bwahaaaa, nimecheka kwa nguvu kinoma. Kweli Magu ametuharibia nchi kwa kupandandikiza siasa za kiki. Sasa kiki zinabackfire viongozi wanageuka futuhi.
We senge rais anahusika nini na hii?
Kuna siku utabanwa Nya badala uende chooni utalaumu serikali lofa wewe.
 
We senge rais anahusika nini na hii?
Kuna siku utabanwa Nya badala uende chooni utalaumu serikali lofa wewe.

Mkuu acha kupanick hovyo, kuna popote kwenye maandishi yangu kuna neno rais?
 
Nasubiri mmiliki aje ajitetee ndio balance story... Nipate picha kamili , serikali iweke mazingira mazuri kwa walemavu kama hao sio kupata kiki halafu dump walemavu bila msaada .....
 
Hawa huwa wanapangisha kabisa nyumba na asubuhi hutoka kama wanakwenda makazini.

Mfano pale Arusha kuna eneo linaitwa sekei, wanaishi kule asubuhi kabisa ile saa kumi na mbili utawaona wakielekea mjini kwenye shughuli zao na kila mtu huwa na eneo lake maalum.

Anyways, who are we to judge others.
 
Mjini mipango [emoji23][emoji23]
Kuna siku nlimuona mama mmja pale moroco mataa mara gafla akapigiwa akapokea akawa anaongea [emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Utakuta jitu mbavumbavu kutwa linazurura na mlemavu kwenye mabaa kama ni ndugu yake si amuache nyumbane afanye kazi akamuhudumie?? aisee wasakwe wakamatwe naunga mkono hoja
Tena wagonwe bakora kwa hadhira ili jamii ipate kujifunza ....kuna watu wanatetea ujinga
 
Kituo Chao kipo wapi au wanapewa kwa utaratibu upi? Coni hapa kwenye report ya cag 2019/20
Hiyo ni kwa mujibu wa DC Chongolo kwamba 10% ya mapato ya manispaa hutengwa kwa ajili ya makundi maalumu yaani Vijana 4%, Wanawake 4% na Walemavu 2%
 
Yani zile wheelchair wanazikodi kabisa kwa pesa ili wazitumie kuzungukia barabarani kuomba hela.
 
Kwa sababu linafanywa na Serikali tena Serikali ya CCM, hutasikia wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wakisemea hili.
 
Back
Top Bottom