mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,760
Gondwe anaongelea mradi wa mabasi ya mwendokasi ila wengi hapa wanaonekana wanaongelea mradi wa Reli ya SGR.
Pale amewejengea bwawa la samaki na hakuna wa kumgusa.
Chadema na Temeke wapi na wapi! Jitahidi uwahi matibabu. Muda si mrefu utaanza kuokota makopo.
Na ikitokea kuwa inalipa, kelele za kumpelekesha mkandarasi zinaanza kusikika.Wanamlipa Pesa Mkandarasi? Maana kama Mkandarasi analipwa kulingana na Mkataba hawezi kushindwa kufanya kazi, Serikali yetu ulipaje wake utakuwa wakusuasua tu
Chadema waliitawala Temeke toka uhuru , wakawanyima maendeleo wanatemekeChadema waliharibu sana Temeke ni muda wa kuijenga
Hivi ule ugonjwa wako bado hujapata tiba?Chadema waliharibu sana Temeke ni muda wa kuijenga