Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hivi wanazijua flyover kweli ??Tangu mwaka 1961 Hadi leo Flying over tatu temeke.unanichekesha kweli kweli
Aisee, sijui Kwanini kina Kikwete walishindwa kutamba na flyover ya Manzese.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wanazijua flyover kweli ??Tangu mwaka 1961 Hadi leo Flying over tatu temeke.unanichekesha kweli kweli
Upumbavu na ujinga tuMkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.
Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Jibi hoja sio kuwa na akili fupi za kwenda chooni, sina affiliation na chama chochote idiot.Ko umeona ndo kipaumbele kikubwa kwa Wilaya ya Temeke?Mataga bhana😀
🚮🚮🚮Jibi hoja sio kuwa na akili fupi za kwenda chooni, sina affiliation na chama chochote idiot.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.
Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ipo imeanza kujengwa veta paleIkijengwa hata flyover moja hapo Temeke ndani ya hii miaka mitano basi mnitag hapa JF.
This is totally example of white brain chainHizi ni Interchange na sio flyover. Flyover nenda UK, France, etc.
Baki hapo hapo na maswali, wanaume wakifanya kaziFlyover ndio nini? Maana sijaona hata umuhimu wake hizo zote zitajengwa ndani ya miaka hii minne na miezi 9 iliyobaki ama ndio Baragumu linapulizwa la kutoa akili za watu tukaongeze mi7 tena.
ikijengwa ya Buza nahama nchi
Mkuu ipo japo s makutano n pale kwa mama kibonge ambapo Kuna kipinda Kona (round about) Kuna barabara inayounganisha wakaz wa mwanagat magole kibeberu na mbagala kilungule na chamaz ile barabara inawakaz weng na Sasa inapigwa lami hivyo jion folen huwa japo.s yakutishaHiyo ya buza hata mimi imenishangaza.. buza sehemu gani kuna makutano ya kuhitaji fly over
Ujinga kwa hiyo South Africa au Kenya walijengewa na ccmMkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.
Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kama haya yote yanawezekana awamu ya tano CCM hamuwezi kukosa kesi ya kujibu kwa miaka mengine yote baada ya uhuruMkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.