DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!

Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.

Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Upumbavu na ujinga tu
 
CCM ndio wanajenga ?, Yaani Katika Historia ya Tanganyika na Tanzania hakujawahi kutokea Awamu ambayo badala ya kuunganisha watu inawatenga..., Alafu wanashangaa watu kukosa Uzalendo

Mali ya Tanzania (watanzania wote wataipenda)
Mali ambayo unasema ni ya Chama (Usitegemee wote wataipenda na kuitunza)

Huo ndio mzizi wa uzalendo (ondoa sisi na wao)
 
Hizi ni Interchange na sio flyover. Flyover nenda UK, France, etc.
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.

Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Ni ushamba tu kwani kazi ya serikali ni nini? Hata kujenga barabara na daraja ni siasa! Mbona nchi zote wanajenga siku hizi nenda kenya wanajenga sasa ! Yaani ningewapeleka Texas kwenye mji mmoja na kuona madaraja kwa maefu sijui ingekuwaje. Ni mambo ya kawaida haya
 
Kwamba flyover (madaraja) yatajengwa kwa pesa za ccm?
 
Flyover ndio nini? Maana sijaona hata umuhimu wake hizo zote zitajengwa ndani ya miaka hii minne na miezi 9 iliyobaki ama ndio Baragumu linapulizwa la kutoa akili za watu tukaongeze mi7 tena.
Baki hapo hapo na maswali, wanaume wakifanya kazi
 
Uyo Gondwe anaposema hakuna Kama CCM, kwani Kuna chama kimewahi kutawala tofauti na CCM? Kama kuchelewa, tumecheleweshwa na wao na kama Sasa wameona muda wa kufanya hayo wanayoyafanya umefika, wafanye, lakini si kusema hakuna sijui Kama Dude gani
 
aache uhayawani. aseme hakuna kama kodi za watanzania.
 
Hiyo ya buza hata mimi imenishangaza.. buza sehemu gani kuna makutano ya kuhitaji fly over
Mkuu ipo japo s makutano n pale kwa mama kibonge ambapo Kuna kipinda Kona (round about) Kuna barabara inayounganisha wakaz wa mwanagat magole kibeberu na mbagala kilungule na chamaz ile barabara inawakaz weng na Sasa inapigwa lami hivyo jion folen huwa japo.s yakutisha
 
Mpaka sasa Tz hakuna flyover hata moja zaidi tuna madaraja na makaravati tu
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.

Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ujinga kwa hiyo South Africa au Kenya walijengewa na ccm
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.

Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kama haya yote yanawezekana awamu ya tano CCM hamuwezi kukosa kesi ya kujibu kwa miaka mengine yote baada ya uhuru
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.

Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Ametaja tarehe za kuweka majiwe ya msingi na za kuzindua?
 
Back
Top Bottom