Vipi wewe unapendelea waendelee na biashara yao?Mnazingua pakubwa
Kunasehemu umewaona?....tushirikiane kutoa taarifaDC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi shetani lakini sasa tunaona kimya nini kinaendelea?
Mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya inatamani kupata uzoefu wako wa kupambana na hii biashara haram ili nayo iweze kuiga na kutokomeza kabisa hawa dada poa!
Nipo hapa Lunch Time Manzese naona bado wapo!Kunasehemu umewaona?....tushirikiane kutoa taarifa
Ngoja afundishwe sheria na utawala bora mahakamani kwanza ndiyo akili imkae uzuri.Badala ahangaike kuwahimiza watu wakazane kwenye kilimo,yeye anahangaika na sehemu zao za siri!Bomboko oyeeee!DC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi shetani lakini sasa tunaona kimya nini kinaendelea?
Mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya inatamani kupata uzoefu wako wa kupambana na hii biashara haram ili nayo iweze kuiga na kutokomeza kabisa hawa dada poa!
Mabeberu wamempeleka MIGA ya Dasilamu.Vita ya kiuchumi sio kazi ndogo
πππππ... piga emergency callNipo hapa Lunch Time Manzese naona bado wapo!
Na ahakikishe haondoki mtu hadi DC afike.Zuia hao watu!πππππ... piga emergency call
Awafuate na huko ila awe na boti.Maana watatorokea baharini.Huku kigamboni wamejaa kibao
Naunga mkono hojaAwafuate na huko ila awe na boti.Maana watatorokea baharini.
Ni sahihi.Ukiona jambo lipo kwenye maandiko matakatifu we jua tu limeshindikana katika uongozi wa mwanadamu mwenye mwili na nyama.
Leo mida ya Saa 9 usiku nmekatiza Pale Ubungo Kibo Bar ya Dagaa dagaa wapo kibao ni kama wameongezekaDC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi shetani lakini sasa tunaona kimya nini kinaendelea?
Mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya inatamani kupata uzoefu wako wa kupambana na hii biashara haram ili nayo iweze kuiga na kutokomeza kabisa hawa dada poa!
Hawawezi kuondoka na bado wanaongezeka! Na hapa pembeni kuna vyumba vya alfu!Na ahakikishe haondoki mtu hadi DC afike.Zuia hao watu!