DC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi shetani lakini sasa tunaona kimya nini kinaendelea?
Mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya inatamani kupata uzoefu wako wa kupambana na hii biashara haram ili nayo iweze kuiga na kutokomeza kabisa hawa dada poa!