DC Heri James: Fedha ya force account, iwanufaishe Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa

DC Heri James: Fedha ya force account, iwanufaishe Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Dar. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James amesema Fedha ya force account, ni kwaajili ya kuwanufaisha Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa ili kuwe na mzunguko wa Hela Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Kufunga mafunzo kwa Mafundi 1000 wa Wilaya ya Ubungo.

Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kampuni ya starlink GU trading company wazalishaji wa bidhaa za Magic Builders International.
FB_IMG_1669010861203.jpg

Naye Eng Fadhil Majjid Ishekazoba ACP Kamanda Polisi Kikosi Ujenzi, amesema ni wakati
mwafaka kwa Chama cha Mafundi kuwatafutia Vitambulisho ili wasiwe wanakamatwa kwa Uzembe na Uzururaji. Mafundi wengi wanatoka sehemu za kazi kwa kuchelewa hivyo kupata Usumbufu kwa Askari wa Doria. Amesema kwakuwa chama cha mafundi kimesajiliwa, ni bora mafundi wawatambue kwa kuwapa Vitambulisho hasa hawa Waliopata mafunzo haya ya kutambua bidhaa feki na bidhaa ambazo sio Feki

Mkurugenzi biashara na uwekezaji starlink GU trading company wazalishaji wa Magic Builders International, David Barongo, amewashukuru wahudhuriaji wa mafunzo hayo na kuahidi kuendelea kutoa mafunzo kwa Mafundi wengine Nchi nzima wakianzia na Wilaya za Dar. Mafunzo hayo yameambatana na utoaji wa Vyeti vya kuhudhuria mafunzo, Zawadi za Simu na Bajaji kwa Mabalozi na chama cha Mafundi.

Bidhaa zinazozalishwa na Magic Builders International Ltd ni pamoja na:

1.Whiteskim wallputty
2. Magic Bond PVA Binder(Inatumika baada ya kuskim na kupiga msasa)
3. Damp Seal(Hii ni Fungus Guard inayozuia kuta zisiathiriwe na Fungus na pia inatumika kutibu kuta zilizoathiriwa)
4. Magic Grout (Hizi ni kwa ajili ya kuziba uwazi ule wa katikati ya tiles mbili)
5. Screws size zote
6. Cutting Disk za inchi zote.
FB_IMG_1669010869201.jpg
FB_IMG_1669010874364.jpg
FB_IMG_1669010964284.jpg
FB_IMG_1669010989394.jpg
FB_IMG_1669010992168.jpg
FB_IMG_1669011067097.jpg
FB_IMG_1669011077790.jpg
 
Back
Top Bottom