Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?


kwenye red bolded

Ukristo uko tofauti. Ukifanya hivyo, umejidhalilisha wewe na si Kristo wala mkristo.

Mkristo atakaye geuka na kukupiga au kuonesha gadhabu juu yako, huyo ni wa jina tu. Wakristo wamefundishwa kusamehe na zaidi kumwombea akukoseaye REHEMA.

Kama ni kudhalilishwa, kutukanwa, kuvuliwa nguo, kutemewa mate, kuchomwa mikuki na kupigiliwa misumari yote aliyabeba Kristo msalabani, mwisho wa siku AKAWAOMBEA REHEMA..."BABA WASAMEHE KWA KUWA HAWAJUI WALITENDALO..."

Mifano ipo mingi. Mwanza makanisa mawili ya Lumala na Pasiansi yote ya Tanzania Assemblies of God (TAG), yamechomwa moto. zaidi ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalam NO FATHER ACTION.
HAKUNA MATAMKO, WALA HAKUNA KUTANGAZA UHASAMA NA WAISLAMU, bali kuwaombea rehema.
".....mtu yeyote akitaka kunifuata, ajikane mwenyewe, anifuate...."
 
Kwa wale wenyeji wa Tanga ukumbi wa disco wa lakasachika mtakuwa mnajua mabinti wanavyo vulia hijabu tena nyingine za kininja ndani ya ukumbi. Bakwata watoe tamko wamiliki wa ukumbi wanadhalilisha moja ya alama za dini ya uisilamu.
 

jina siyo Imani, unaweza kuitwa vyovyote vile. It is only symbolic interactionism process. For simple identification uko tofauti na NANGA. Jina ni jina tu, il mradi lisiwe na maana mbaya kwa jamii husika, japo kwa jamii nyingine laweza kuwa ni tusi lakini hawahusiki na jina lako kwenye jamii yako
 
Mchungaji asiye na akili!
Vp, sadaka ya leo unaenda kuimegea baa ipi?

si kila ajiitae mchungaji ni mchangaji kwa maana ya kuchunga kundi la Kristo, WENGINE NI WACHUNGAJI WA MBUZI NA NGO'OMBE Rejao
 


umesema vizuri. tukiwa wawazi kwenye mambo yanayotuhusu, hakuna 7bu ya kugombana humu ndani.
 

well said mkuu...

Ni wapumbavu wachache sana wanaojaribu kutafuta pa kutokea na laana ya chuki waliyonayo mioyoni mwao tena kwa asili zao

Hivi yale makanisa yanayochomwa zanzibar ingekua ni misikiti si ingekua Armageddon?

Watu wamekosa upendo sasa wanarukirukia kila hoja ili mradi wagombane na watu, ni njaa na laana tu

BAKWAT ni chombo kikubwa sana kuhangaikia mtandio wa mkatoliki, na kuridhihirisha kwamba bakwata hawako makini, hata matamko yangetolewa tu na viongozi wao wa wilaya ya Igunga, hakukuwa na haja ya kufika national level....

INASIKITISHA SANA NATIONAL BODY INAKUA KAMA KITCHEN CABINET
 

ni muislam?
 

".......Ijue kweli, nayo kweli itakuweka huru..........."
 

tusiache kukemea uovu wa BAKWATA watu wa dini zote.
 

hoja ya leo nzuri sana, nabarikiwa japokuwa sijaenda church na sina mpango kwani nafanya kaz za watu ili mradi TAIFA liendelee kusonga mbele.
watu wanajibu hoja, kashifa MWIKO
 
......hehehe! Si kila mwisilamu ni bakwata.....

Nzuri kabisa....huo ndo ukweli.

wala si kila ajiitaye mkristo ni WAKRISTO, wengine utambulisho wao tu na JESUS mwenyewe alitahadharisha....."wengi watakuja kwa jina langu...."
 

kama uliposimama hupajui ni wapi huwezi kutafuta njia ya unakoelekea. Lazima akili hii ni ya kuazima.
 

Super dupa crap!!!
Ukweli unabaki kuwa toka mwanzo kuvuliwa kwa hijabu/mtandio kulihusishwa na kwamba DC ni mwislamu na kwamba amekoseshwa sitiri ya kike kwa utaratibu wa kiislamu. Ni baada ya kujua kuwa kumbe DC si mwislamu swala ndio limekuwa hijabu/mtandio. Comments zako ninaonesha au double-standards au unafiki. Tukumbushane mambo kadhaa hapa: a) Bakwata haikuwa kutoa tamko juu ya kukamatwa kwa Magdalena Sakaya, kupigwa na kuumizwa kwa Josephine Mshumbusi na wengine wengi!! Hata hivo wanawake na watoto huko Pakistani, Somalia na Afghanistan wanauawa na kuteswa na fellow muslim brothers - Bakwata iliwahi kusema chochote?? Bakwata ingekuwa inazungumzia hijabu, isingejiingiza kwenye kushauri CDM isipigiwe kura. Hapa ndipo wenye upeo wa kufikiri wamekazia!!! Bakwata ingetoa tamko la namna mbadala ambayo mhalifu wa kike ashughulikiwe.


Kusema hijabu ni ya uislamu au sketi ni alama ya ukristo ni kukosa upeo wa ufahamu. Fikiri mbali kuliko mavazi na vitabu au alama za dini. All faiths are ideologies!!
 

duuh!!!!!! kazi kwelikweli.
umezungumza mengi ya msingi lkn naomba tuwekane sawa hapo green bolded nadhani unapotoa ingawa yawezekana una ukweli kwa mjibu wa human trdaditions ni si kwa MJIBU WA BIBLIA.

Dini ya kiKRISTO, imegubikwa na madhehebu ambayo kwa mjibu wa biblia, hayajakubalika mahali popote pale. Madhehebu hayo, ndiyo yanayoingiza na mafundisho mengine ambayo kimsingi si MAFUNDISHO YA YESU KRISTO bali ya makristo.

Mtu anaweza kuamka na kuanzisha taratibu zake, lakini kwenye BIBLIA hazipo kabisa. Moja ya mambo hayo, ni hilo nililobold kwa kijani kwenye post yako.
NASISITIZA HALIPO, ni mafundisho ya ambao KRISTO anawatambua kama manabiii wa uongo, wanaomtumia KRISTO kutimiza haja zao. KRISTO ametuonya tujihadhari nao na tuwaombee rehema
 

na wewe, yule mama anafuga mdudu. anakula mdudu huku kavaa huo mtandio ambao tunauita hijab sasa badala ya kumshutumu kwa kuudhalilisha uislamu sisi tunasifia kuwa alikuwa anatukuza uislam. na wale machangu kule kati wanaovaa hijabu tunatoa kauri ipi? tuache kufuata mkumbo kama bakwata kapewa pesa tuwaulize maswali haya kama ni kutukuza uslam au ni kudhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…