Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Kweli kupenda huondoa macho..kumvua mwanamke nguo zake za stara siyo tatizo?

Kulikuwa na haja gani ya kumvuta mama yule..kihuni vile..hakukuwa na na njia ya kistaarabu kumuondoa hapo?

Kulikuwa hakuna wanachadema wanawake wa kwenda kumuondoa "muhalifu huyo kama wasemavyo?

Millions of questions can asked..ultimately chadema wamedhalilisha alama za dini tena kwa chuki...yet chuki zaidi hata kusema soory it was fans not chama wamekataa the inceidence tells all.
Why her ndio imekuwa swala kubwa wakati wamevuliwa na kuchaniwa nguo wanawake wengine wengi tu! tena limekuwa swala la kidini na kisiasa au kuna watanzania bora zaidi ya wengineo. Staha ya mwanamke sii vazi tu bali tabia pia na lazima ufahamu kwamba Hijab ni staha kulingana na unavyojiheshimu na unavyojithaminisha na sii kuvaa Hijab ukaenda kujiuza au kufanya mikutano yenye kujenga chuki. Na labda nikuulize wewe mchawi akivaa hijab hutamvua? maanake Wabongo mnaogopa wachawi tu wanafiki walaaa!
 
Kwa nini umvue mtu nguo zake? Hapo tu ndipo mie Mkandara nashindwa kuelewa. Why do we condone people to strip others of their cloth?

Mnafiki wa kiume akifanya unafiki tutamvua suruwali? Na anaefanya mikutano ya chuki asiyevaa mtandio, tutamvua blouse?
 
Ndugu, mimi nipo karibu na hiyo familia, nimesikitishwa sana na upotoshaji unaoendelea kwenye thread hii! Ukweli ni kuwa bi Fatma amezaliwa muislam, na kweli pia aliolewa na mkristo Kimaryo . MUHIMU HAPA KU-NOTE NI KUWA BI FATMA SI MKRISTO kwa dini na PIA WAMETENGANA NA HUYO MUME WAKE KITAMBO SASA, na hiyo imempa fursa ya kumrejea MOLA wake! Wale washambulizi wa CHADEMA walifanya hivyo wakijua kuwa ni muislamu, angekuwa dada yao wakikatoliki wasingethubutu!
Sasa inakuwaje watu wanadai huwa wanamuona Kanisani? au hata huko Msikitini ameshaonekana? Kama unamfahamu basi ebu tupe maaelezo ya kina kuhusu huyu mama!
 
Kwa nini umvue mtu nguo zake? Hapo tu ndipo mie Mkandara nashindwa kuelewa. Why do we condone people to strip others of their cloth?

Mnafiki wa kiume akifanya unafiki tutamvua suruwali? Na anaefanya mikutano ya chuki asiyevaa mtandio, tutamvua blouse?
Mtu yeyote anayekataa kuchukuliwa chini ya Ulinzi nguvu za ziada hutumika maadam hatadhurika yeye. Nguo kilembe, kanzu suluali blouse vyote vinaweza kuchanika ikiwa mtuhumiwa anavitumia kama kinga ya kutokubali kuwa chini ya Ulinzi..Staha ni uungwana na raia mwema, unapokamatwa fanya utiifu!
 
Nakushukuru Mkandara. Daima nime admire objectivity yako katika maoni utoayo.

Thanks.
 
Magreat thinkers.
Taarifa za uhakika zinamulika ya kwamba yule mama Dc Kimario alievuliwa hijabu ni mkristo wa dhehebu la katoliki alie silimu siku nyingi na kufunga ndoa ya kikristo, na hata nyumbani kwake Mbezi anakoishi na mumewe wanafuga mpaka nguruwe.

Viongozi wangu wa Bakwata wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kulisimamia swala lile kana kwamba ni kweli, na wametudhibitishia kwamba wanatumika kama chombo cha propaganda kwa matakwa ya watu fulani.
 
Heee! Hili nalo neno.
 
kwani kila mwanamama anayevaa hijabu ni muislamu? Huyu mama alikuwa amejisitili kwa kuvaa hijabu,sasa kama walimvua hijabu basi watakuwa bado wamefanya kosa tu bila ya kujali kuwa ni muislam au laa
 
Hii habari tumeishaijadili sana Wakuu, kuna thread zingine zinaendelea humu za huyo mama DC. Mods onganisha hii thread na zingine
 
Imethibitika kuwa DC ambaye alikuwa anajihusisha na siasa na kupanga safu ya mawakala ili kuisaidia CCM ishinde chini ya mwamvuli ya ofisi ya mkuu wa wlaya sio Muislam kama wengi walivyoaminishwa na makada wa CCM. Hila za kugeuza jinai kwenye siasa za kidini zilijengwa na wana CCM wakizani watapata huruma ya kidini badala ya kupamabana na uhalifu. Ikumbukwe mhalifu hana dini, kabila, wala jinsia.

Mama Kimario ni mkristu, na hakuwa amevaa hijb bali mtandio/kitambaa cha kichwa ili kufunika nywele kwa sababu alikuwa hajazitengeneza nywele zake. Mama yule ni mkazi wa Dar na mumewe ni mzee wa kanisa huku wakiendesha biashara ya Nguruwe. Ukijaribu kuangalia mavazi ya mama kimariao huwa anaacha kifua wazi na sketi fupi kwa hiyo kutoa maana nzima ya hijab.

Imefika wakati viongozi wa dini kukaa mbali na siasa zenye harufu ya udini kwani hukwaza wengi pamoja na waumini wa dini husika. CCM kimekuwa chama hatari na matumizi haya mobovu ya dini kisiasa lazima yapigwe vita na wananchi wote kwani ni hatari na hayatasaidia kwenye nchi ambayo umoja na mshikamano wa kitaifa unaingiliwa na siasa za udini, ukanda nk.

Ni vyema kukemea maovu na waovu bila kujali dini zao. Mafundisho ya dini zote yanafundisha kutenda mema na haki. Wajibu wa dini ungekuwa kukemea maovu bila kujali ni nani ameyatenda. Dini ziwe vioo vya haki na maadili mema.

Ni mimi
Chief Mkwawa Wa Kalenga
Haki haipigwi kozi inanyakuliwa.
 
huyo mama masikio yetu yameshachoka kumsikia kama wananhi wa igunga wataingia kwenye mtego huo pamoja na dharau nyingine kama ya kugawiwa chakula wakati wa uchaguzi ni wazi sie hatuma na kufanya mabadiliko yanachukua muda na ni lazima wahusika wawe wanayataka.
 
kwa mujibu wa Gazeti la Mwanahalisi la leo tar 28 Septemba hado 04 Oktoba DC Fatuma Kimario anyedaiwa kuvuliwa Hijabu, sio muislamu. Ameolewa na Mtu wa dhebu la Kikristo na amezaa naye watoo wanne. Mtoto mmoja aitaye Vivian (Mkristo) anatarajiwa kufungqa ndoa ya kikatoliki mwezi Oktoba 2011. Alipohojiwa Ustaadh Amir Said Amir kuhusu suala hilo alinukuliwa akisema kuwa "watu wengi hudhani kuwa Uislamu ni jina. Uislamu ni imani na matendo mema. Kila mtu anaweza kujiita muislamu lakini kama hafuati misingi, hata kama amevaa hijabu, siyo muislamu.

Sheria ya Kiislamu inaema ndoa ya kiislamu itafungwa kwa kuzingatia muongozo wa kurani na maelekezo ya Mtume Muhammad (SAW). Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya Kuraani (suatul Mumtahinnah aya ya 10), mwanamke wa kiislamu amabye ameolewa na na asiyekuwa muislamu, basiametoka katika dini hiyo (muttaddah).

Naye meanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hilo, alisema "Kwanza hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu, Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa." Kuhusu kubadili dini , Sheikh Ponda amesema "Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu)"

NAOMBA KUWASILISHA. HONGERA SANA MWANAHALISI KWA UTAFITI WENU.
 
Kumbe source ni Mwanahalisi gazeti dada la Tanzania daima la CHADEMA. Hakuna kitu hapo jaribu siku nyingine na gazeti lingine
 
Kazi ipo tunasubiri tamko la kumpiga mawe dc mpaka kufa kwa kuudhalilisha uislam
 
Kumbe source ni Mwanahalisi gazeti dada la Tanzania daima la CHADEMA. Hakuna kitu hapo jaribu siku nyingine na gazeti lingine

Leta ushaihdi tofauti unaonyesha kuwa mumewe sio mkristo, na hawana wato wanne na DC huyu. Mumewe ndg Kimario alipohojiwa kupitia simu namba 0784261114, alinukuliwa akisema kuwa yeye sio public figure. Dc anafahamu ndoa yao ilivyo hivyo wamuulize yeye. SASA KAMA WEWE UNA HOJA TOFAUTI WEKA HAPA.
 
Naye meanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hilo, alisema "Kwanza hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu, Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa." Kuhusu kubadili dini , Sheikh Ponda amesema "Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).

kwa hiyo chadema walikua sahihi kumdunda kutokana na misingi ya dini ya kiislam?? sasa ukatoliki wa chadema uko wapi sasa??? ha ha
 
DC "Feki Fatuma" ameumbuliwa. Sasa baada ya kugonganisha vichwa vya Bakwata anayo kazi ya kujikosha na kutoka hadharani kusema ukweli wa sakata zima...Oh nimevuliwa nguo na kubaki uchi-- awajibishwe kumbe kafir!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watanzania wenzangu hii hata kama huyo mama ni Mkiristo ndio anaruhusiwa kuvuliwa nguo zake? Mpaka sehemu zake za mwili wake maeneo ya tumboni yanabaki wazi.
Mafundisho ya Ukiristo na ya Bwana yesu yanakubali mwanamke kudhalilishwa?
 
Back
Top Bottom