DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Acha waparuane,hadi Daddy aje kuamulia ugomvi.Ila Jerri ajue sikio alizidi kichwa, ajifunze adabu.
 
Mambo kama haya hunifanya nikumbuke uvumilivu wa Rais Mstaafu JK..unajua sisi watanzania tuna shida sana..Viongozi wengi wa kuteuliwa (Politician) wamekuwa Aggressive than ever kuliko Viongozi wa kitaalamu wa kuteuliwa(RAS,DED, PS n.k) ambao ni watumishi wa Umma na huwa wana majukumu mengi kuliko wanasiasa.. Siasa ya leo imekuwa ya Mtu anayetaka nyumba ya kujengwa mwaka mmoja ijengwe miezi nne..ifike mahali kuwa wastahimilivu..Naamini kitaaluma halmashauri yote imesikitishwa na hiyo hali..hivi angechelewa yeye angesemaje?..haya ndio yanapelekea kuonekana kuna ka-power kanaanza ku-exceed limit hali inayoweza leta chuki
 
Tutaona mengi sana, Jerry muro,anajiaribia wenyewe.
 
That is not how we are supposed to serve.

Kama mwanachama mtiifu wa CCM ambayo inajukumu la kuisimamia Serikali.

Naomba mheshimiwa D.C. aonywe na mamlaka ya uteuzi.
jingalao soma na uelewe content ya post hii ya mwanaccm mwenzako mwenye akili. Then jirekebisha
 
Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?

Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Mkuu ila huyo msomi wetu si ameamua maisha ya teuzi na kukacha kitabu...? Kwa zama hizi mazonge kama hayo hayaepukiki.Ndio maisha aliyochagua.
 
That is not how we are supposed to serve.

Kama mwanachama mtiifu wa CCM ambayo inajukumu la kuisimamia Serikali.

Naomba mheshimiwa D.C. aonywe na mamlaka ya uteuzi.
Unatoaje onyo mamlaka ya uteuzi kwa jambo ambalo imelibariki! Haya wanayoyafanya na akina Muro yanatofauti gani na yanayofanywa na mamlaka ya uteuzi?
 
Muro anamuogopa MKurugenzi. Mkurugenzi ana PhD wakati Jerry ni takataka mzoa mavi bichwa tupu. Sasa anajihisi kudharauliwa.
Mnyonge mnyongeni....Mkuu vipi unajua kiwango cha elimu cha mh Muro??
 
Amesema Katika kuteuwa vigezo vyake awe ni kichaa kama yeye,
Huu ni msimu wa vichaa
Rais kuhutubia kutoka kichwani badala ya kusoma alichoandikiwa kunasababisha wasaidizi wake wapate tabu sana.
 
Kuna mijitu mengine ni mithenge sana lakini ndio malipo yao hayo ya kutumika kishenzi shenzi. Watu wazima wana njia za kuambizana kijitu kizima sio kufokeana kama watoto wadogo.
Taratibu mkuu. Kwani ni lazima utukane?
 
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!!
Bahati mbaya Mfațme Jiwe Kichaa ndio anapenda watu wenye ujinga wa aina hizo. Siku huyo DC atakapowafanyia wa CDM ujinga kama huohuo basi atafikiriwa hata kumrithi
 
Dr Mahela
Mmmoja wa watu wachache sana mabingwa wa hesabu hapa duniani LK anafokewa na Jerry Muro mwenye elimu ya kuunga unga tu!
Kama haumheshimu huyu gwiji kwa umri wake basi mheshimu kwa elimu yake!
 
Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?

Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Jerry Nimesoma naye Kisarawe Lutheran Junioe Seminary 2001-2003. Ni mwanafunzi pekee aliyekuwa akitukanana na walimu hadharani. Ni katika kipindi hicho Jerry alikuwa akifanya ushenzi yeye na demu wake Grace (Jina la pili nalihifadhi) kama mke na mume kinyume cha maadili ya Seminary. Jerry alikuwa ni mwanafunzi pekee aliyekuwa anatoroka usiku kutoka Seminary kuja kisarawe na hatimaye Dar kulewa mipombe na kurudi Shule alfajiri. Jerry alikuwa akisoma Seminary huku akifanya kazi redio moja hapa Dar akiendesha kipindi cha ngono kiliitwa Pillow talks. Jerry alishafukuzwa shule Loyola na alifanya NECTA akiwa kwenye suspension.
 
Muro ni mtu mjinga,halafu kama hajiamini hivi yaani anavoongea anaatia huruma...hivi katika hizo teuzi zao kiprotokali ye ndo boss wa DED au niaje aje?
 
Yaani siku hizi najisikia vibaya hata kuangalia matukio mengi ya kisiasa.
Kiungwana Jerry Muro (Mh DC) asingetenda yale aliyoyatenda ni kufedheheshana wakati yeye na Mkurugenzi wote ni wateuliwa wa Mamlaka moja.
Tujifunze kuwa Wastaarabu pindi tunapoteuliwa kuwa Viongozi maana kuna maisha baada ya uongozi. Ila naamini kuwa staili hii ya kufokeana inaanzia juu ndiyo maana hata hawa vidagaa wanaiga.
Tuombe Mungu atuvushe kipindi hiki kigumu maana hatujui hata tuendako na wala kesho yetu haijulikani.
 
Back
Top Bottom