DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

😆😆😆😆😆 Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

Jerry buana,saizi aliyemfokea amepaa
 
enzi zile moderator wa jf walipokuwa wanazingatia sheria ungepigwa ban ya siku 7 kwa kuleta uzushi kwenye uzi usiohusiana na ujinga wako
Kamanda usipaniki...isitoshe nyie wote wapinzani au siyo?
 
Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa raisi, hata kama ni professor ni lazima umheshimu mkuu wa wilaya kwani ni baba mwenye nyumba. Ama vipi! hama nyumba.
 
Tuna fukua makaburi ...uyu ndo mkuu wa NEC eeh

SUBIRI KIDOGO
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

Kumbe hili jamaa Ni kipuuzi kweli,
 
Vipi bwana/bibi Ibambasi hujambo huko uliko? Waonaje halo yako?
Dhumuni la waraka huu ni kukujulia hali tuu mkuu!
Karibu sana. Tunajiandaa tu kumuapiasha jembe letu na mzalendo namba moja, Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Mitano tena
 
Back
Top Bottom