124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Kwa desturi za ki africa ni mtoto mdogo tu unaweza kumnyooshea kidole na si sawa kumnyoshea kidole mwanao au bint yako wa zaid ya 20yrs maana utakuwa umemuweka katka fungu la wasio maana tafuta njia nyingine ya kumuonya au kumuasaNiliwah kuambiwa na mzee wamgu kwamba mtu akiongea na mm huku ananinyooshea kidole maana yake siwezi mfanya chochote, ni ishara ya dharau