DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Niliwah kuambiwa na mzee wamgu kwamba mtu akiongea na mm huku ananinyooshea kidole maana yake siwezi mfanya chochote, ni ishara ya dharau
Kwa desturi za ki africa ni mtoto mdogo tu unaweza kumnyooshea kidole na si sawa kumnyoshea kidole mwanao au bint yako wa zaid ya 20yrs maana utakuwa umemuweka katka fungu la wasio maana tafuta njia nyingine ya kumuonya au kumuasa
 
Yeye ndiye mpuuzi anayeongea upuuzi mbele ya RC boss wake. Na inaonekana RC kakereka sana na hali hiyo
 
Nijuavyo DED kwa mafungu wapo vizuri zaidi,Mara nyingi DC, wanaomba hata mafuta.Awe na akiba ya maneno.
Haombi mafuta ya DED, anaomba mafuta ya serikali. Kama ana ubavu akatae.
 
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!! Dr. Mahela is the most reputable academician, alafu Jerry anamfanyia hv? OMG..!!
BAADHI YA WASHIKA VYEO HAWAJUI KUWA STAFF WAO WANA TEAM KWA MABOSI WAO PIA.....UKIMUUDHI DED UMEUDIH HADI MTOTO WA KAMBO NYUMBANI KWANGU...TUKIKUKUAMILIA utapata tabu sana.
 
Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?

Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa Hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure na (certified) mropokaji. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
PhD holder kajidhalilisha mwenyewe kukubali kufanya siasa badala ya kulikomboa taifa kuondokana na ugonjwa wa kuogopa hisabati.
 
Simtetei huyo mtu anayeitwa sijui Muro ila hii mimi naona haina tofauti na co-workers au wachezaji wa timu moja uwanjani wanawekana sawa pale mmoja anapoonekana kuwaangusha wenzake kwa kushindwa kukaba sawasawa au kutoa pasi mbovu. Imagine kwenye ofisi za serikali wangekuwa wanawekana sawa hivi 'live'!!!

Faida ni kwetu sisi ambao zamani tulikuwa tunaitwa wananchi. Sijui kelele zingine hizi ni za nini.
 
Time is money,dakika kumi ni nyingi sana kuchelewa kwa hiyo sioni kosa siku nyingine afike mapema.
 
Muro anamuogopa MKurugenzi. Mkurugenzi ana PhD wakati Jerry ni takataka mzoa mavi bichwa tupu. Sasa anajihisi kudharauliwa.
Takataka ni huyo PhD holder ndo maana anaendeshwa na bichwa tupu na akanywea
 
Kwa desturi za ki africa ni mtoto mdogo tu unaweza kumnyooshea kidole na si sawa kumnyoshea kidole mwanao au bint yako wa zaid ya 20yrs maana utakuwa umemuweka katka fungu la wasio maana tafuta njia nyingine ya kumuonya au kumuasa

Kumbe ulienda jando mkuu, safi sana.
 
ATAPANDISHWA CHEO KUWA MKUU WA MKOA
Kuna clip nyingine amesema kabisa “mimi kama mkuu wa mkoa....... tena mbele ya RC Gambo. Nadhani kashapata tetesi kuwa mkuu wa mkoa. Sasa Gambo anavyokuwa mpole vile wakati DC anamtukana DED, maana yake nn. Labda anajuwa mkoa wa Arusha utamtupa mkono very soon.
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

Wakulaumiwa ni CCM kwa kufanya majaribio ya hatari.
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

Muro yupo sawa tuache kufanya mazoea na uswahili kwenye kazi,kwanini uchelewa kazini wakati unajua muda wa kuwepo kwenye kazi yako,Watanzania ni watu wa ajabu sana sasa mlitaka aliyechelewa apigiwe makofi na kupongezwa kwa kuchelewa.
 
Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?

Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa Hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure na (certified) mropokaji. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Comment yako inaondoa vidonda vya tumbo, ana Phd ya HISABATI? aseh... Sasa kwann asirudi kufundisha aseh
 
Back
Top Bottom