DOKEZO DC Jerry Muro atishia kuumiza na kupoteza watu wanaodai katiba

DOKEZO DC Jerry Muro atishia kuumiza na kupoteza watu wanaodai katiba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Diallo alisema vichaa wasiwe wanapewa madaraka.Kwanza alikua na kesi ya rushwa TBC,aliwahi kutoa matusi ya udhalilishaji akiwa Yanga, hivi Mama kwa uchamungu wako unateuaje huyu mtu Mama?
 
Diallo alisema vichaa wasiwe wanapewa madaraka.Kwanza alikua na kesi ya rushwa TBC,aliwahi kutoa matusi ya udhalilishaji akiwa Yanga, hivi Mama kwa uchamungu wako unateuaje huyu mtu Mama?
Alikamatwa na pingu , Mawakili wa chadema wakamtoa selo
 
Kila mtu na hulka yake.

Baadhi ya viongozi hukosa maneno laini ya kuelezea MISIMAMO MIZITO.

JAPO NAMUUNGA MKONO DC MURO KWA MSIMAMO WA KUENDELEZA UTULIVU.

Wapo wafanya vurugu wanaopenda kutumia mianya ya visingizio vya katiba mpya n.k

HAO NI LAZIMA WADHIBITIWE ILI ISITOKEE YA AFRIKA YA KUSINI

#KaziIendelee
 
Jerry ajichunge sana, hivyo vyeo havina muamana!
Haifai hata kidogo kutishatisha wananchi.
Watu tunatunza kila neno na tendo analolifanya, tusije huko mbeleni kulaumiana!
 
Uvccm mje mpongeze kwa hili pia. Mkuu ulikuwa mbele ya muda
Inasikitisha sana.
Kama kweli kasema maneno hayo kutoka kinywani mwake , anastahili kujitafakari kama anaitendea haki nafasi aliyopewa na mama pia ukizingatia bosi/mteuzi wake hataki turudi kule tuliko kuwa.
 
Kumbe huyu bwana alikuwa shetani wa kiwango hiki!

Hongera mama Samia kuonfoa maharamia kwenye safu yako ya uongozi. Endelea kusafisha ili nchi iondokane na laana.
 
Bashite siyo mwenzio,mark my words
Bashite muuaji hawezi kuwa mwenzake.

Bashite ni mwenzao kwa wauaji. Mtu mwema ukiambowa Bashite ni mwenzako ni tusi kubwa lisilo na kipimo. Ni aheri uambiwe mpumbavu au tusi lolote kuliko kuambiwa kuwa wewe ni mwenzako na Bashite. Kuambiwa Bashite ni mwenzako, ni kuambiwa kuwa na wewe ni muuaji na mdhulumaji.
 
Viva Samia....
Ondoa wanafiki wote wanaojifanya kukupenda kumbe tumbo ziko mbele
 
Back
Top Bottom