Tetesi: DC Jerry Muro atuhumiwa kumchapa makofi kondakta wa basi wakati akijaribu kujitetea

RobyMi

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
848
Reaction score
863
Wana JF

Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.

Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.

vibao.png
 
View attachment 860709
Huyo basi pengine kalewa madaraka.
Basi apewe kazi nyingine.
Maana Rais hakumtuma ama kumpa kazi ILI kudhalilisha WANANCHI.
Pengine ana tatizo la akili!!!!
 
Ndo bosi wao mkuu anapenda na kufurahia matukio kama hayo.
Lakini ajue kabisa wananchi wa Meru si wa kuchezewa na kunyanyaswa. Wao hawazungumzi sana. Ni vitendo tu.
Tusijekusikia RIP.
Meru tunaijuwa sana. Hao si wanaume wa Dar.
 
Kwani kuchapwa makofi kondakta ni tuhuma? Watapata taabu sana
Wangeenda nchi jirani kuona traffic polisi wanatandika viboko kondakta wachafu..wasiofuata sheria wangesemaje!

Well, kuna kasoro kadhaa ambazo baadhi ya viongozi wetu wanazionyesha kwenye utendaji wao namna wanavyotumia mamlaka...ILA na wananchi tulianza kulewa uhuru na haki...zama zimebadilika ni kujiandaa kisaikolojia otherwise tutakua tunahamaki tuu kila jambo.

#Mlisema mie mpole, Mabadiliko kuleta mkali (JK,2015)
 
Wana JF

Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.

Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.

View attachment 860709
Hio si ya kuamini kama ingekua ni kweli basi tungelikuwa tushaona kwa jins ya waTZ tulivokua tunapenda umbea.
 
Wana JF

Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.

Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.

View attachment 860709
Huyu dogo naona kaingia kichwa kichwa sana kwenye ofisi za walipa kodi
 
Back
Top Bottom