Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe bwege tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bwege tu
Hana tafauti na manara wote akili zao zinafananaHuyo basi pengine kalewa madaraka.
Basi apewe kazi nyingine.
Maana Rais hakumtuma ama kumpa kazi ILI kudhalilisha WANANCHI.
Pengine ana tatizo la akili!!!!
kama ni kweli amefanya vizuri kwa hilo. Dereva alifanya uzembe apoWana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.
View attachment 860709
Yakikikuta utafanyaje au ndiyo kufyata mkia kama .....Dah mimi najiuliza kwanini matukio ya hivi hayanikuti.
Yakikikuta utafanyaje au ndiyo kufyata mkia kama .....
Kama fulani[emoji2] [emoji2]Huyo basi pengine kalewa madaraka.
Basi apewe kazi nyingine.
Maana Rais hakumtuma ama kumpa kazi ILI kudhalilisha WANANCHI.
Pengine ana tatizo la akili!!!!
Watu wafuate sheria mkuu ,mimi nawajua makonda na nadereva wa hizi costa wana jeuri sana na hawafuata sheria kabisa,uzembe wa mtu mmoja wasitupeleke uwanja wa taifa kuombelezaUtaona siku yakinikuta.
Kumpiga konda ni kufuata sheria? Au ni konda pekee ndo anatakiwa kufuata sheria?Watu wafuate sheria mkuu ,mimi nawajua makonda na nadereva wa hizi costa wana jeuri sana na hawafuata sheria kabisa,uzembe wa mtu mmoja wasitupeleke uwanja wa taifa kuombeleza
Itakuwa unapenda misifa ya kijinga sana na ndivyo ulivyolelewa.Daaa kuna watu wapole sana kama huyo konda, kwa nn hayanitokei yaliyompata konda? Dunia ingeniweka kwenye rekodi!
Hiyo inaitwa raiti tiraakikama nchi tupo kwenye taharuki.
Anadhani bado ni msemaji wa timu za Tanzania premier leagueHuyo dc ana dharau sana. Haoni haya kuwaambia "Wananchi" wakatafute nchi nyingine ya kuishi!
Tanzania ni baba yake ?