Dah mimi najiuliza kwanini matukio ya hivi hayanikuti.
Huyo basi pengine kalewa madaraka.Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.
View attachment 860709
Wangeenda nchi jirani kuona traffic polisi wanatandika viboko kondakta wachafu..wasiofuata sheria wangesemaje!Kwani kuchapwa makofi kondakta ni tuhuma? Watapata taabu sana
Hio si ya kuamini kama ingekua ni kweli basi tungelikuwa tushaona kwa jins ya waTZ tulivokua tunapenda umbea.Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.
View attachment 860709
Aisee kitatokea kitu cha ajabu siku hiyo.Kasiimame kwenye Zebra wakati Ninja Muro yupo nyuma yako
Ni Mwendo wa vitasa tu
Huyu dogo naona kaingia kichwa kichwa sana kwenye ofisi za walipa kodiWana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.
View attachment 860709
Sitashangaa akapigwa chini kama wana habari wengineKasiimame kwenye Zebra wakati Ninja Muro yupo nyuma yako
Ni Mwendo wa vitasa tu
Kesi ya pingu inaweza kuungurumakuna kitu anatafuta atakipata