Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi jamaa akili yake huwa iko sawa kweli ???!! Nadhan hii ndio type ya akina yule wa mkoa wa mwanza aliyetumbuliwa, nimesahau jina lake.Kupiga marufuku Jambo linaaloruhusiwa na katiba huko ni kuivunja katiba.
Hata Rais mwenyewe hajakataza sijui Jerry Muro kapata wapi hiyo mamlaka.
Jerry tuambie umezuia kwa kutumia kifungu kipicha sheria tafadhali otherwise uondolewe kazini kwa kuvunja sheria
HUYO sio Mjinga, anasoma MOOD YA MAMA Bosy wake...KATIBA anaiita CHOKOCHOKO.DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji, shule