Puma yetu
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 111
- 125
Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi.
Jery Muro kauli zako zinamchonganisha Rais na wananchi, unafanya kiongozi huyu mnyenyekevu achukiwe na wananchi kwa sababu ya mdomo wako mchafu uliojazwa kiburi unaongea bila kutazama mbele. Je, haya ndiyo aliyokutana Rais wa nchi?
Tikuhakikishie kua wananchi wa Ikungi kwa kauli zako hatutakuwa ushauri wa aina yeyote na wala hatukuhitaji. Mimi ni MwanaCCM na ni miongoni mwa waliokupokea wilayani lakini hatutakuvumilia, usituharibie mji wetu tazama mbele yako.