DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Dereva wa Jokate, ujumbe umefika, najua madereva wa hawa ma-viongozi vijana wasio olewa [SUKARI -MAMMY] mnapata shida sana, ujumbe umefika , Jei-wa-insta-mwaga-maa atamfunda, ni mama yake mdogo.
Asante sana kwa kuliona hilo
Mara nyingi fact na ukweli huwa havijali kama majority wanaviunga mkono au la.
Naamini Jokate baada ya kuusoma uzi huu ujumbe umemfikia, Si busara kiongozi mkubwa kama yeye kuacha wazi kifua chake nje. Sisi wananchi tunamtizama kama kiongozi zaidi kuliko tunavyomuona katika enzi za kazi zake za ulimbwende.

MAVAZI HUBEBA HAIBA YA KIONGOZI
 
VAZI linatoa tafsiri yako, mavazi yanaongea.

KIJANA asiye na mke akiona chuchu, kwa ujumla huwa anapata mfadhaiko, waepusheni hawa madereva wenu.
 
Nahisi kama unampigia promo. Otherwise you’ve got some serious problems kama kawaida kwa sisi waafrika.
 
Mh Jokate ni mzuri. Hapo issue siyo mavazi ila labda ndo huo uzuri wake.
Wengine hilo jina tu linatupa mfadhaiko achilia hayo mavazi unayosema.
Isitoshe amefanya kazi yake vizuri kulinganisha na wateuliwa wengi wa aliyeenda zake.

Piga kazi , piga pamba mh dada Jokate ,
I love you [emoji173]
 
Wivu utakuua

kinachofata ni Jojo kuwa Mkuu wa Mkoa ndo akili zitakukaa sawa
I don't care., ndio hali halisi ya nchi yenu wanaoumia ni watanzania, nyinyi wa buku 7 ndio munaotumiliwa, wajinga ni waliwao
 
..hivi haya mavazi yake ni ya kikazi?

..sisemi kama ni mavazi yasiyo na heshima, la hasha.

..ila nina wasiwasi kama ni mavazi yanayolingana na hadhi ya muwakilishi wa raisi wilayani.

 
Halafu ni kazee sijui sababu ya kuzoea vizee
 
..hivi haya mavazi yake ni ya kikazi?

..sisemi kama ni mavazi yasiyo na heshima, la hasha.

..ila nina wasiwasi kama ni mavazi yanayolingana na hadhi ya muwakilishi wa raisi wilayani.

Nimeona kwenye video hii akijitahidi kuvutavuta shati lifunike kifua. Good!. Sasa anaweza kupunguza tabu yote hiyo kwa kutafuta viguo vya ndani vinavyofunika hicho kifua au vazi complete linalokifunika!

I hope mada hii imemfikia na ataifanyia kazi.
Sisi tunamshauri kwa kumpenda na siyo kumnanga, Tunataka Jamii imheshimu zaidi kama kiongozi na siyo "binti mrembo" maana urembo utaisha, watu watamjudge kwa kazi zake.

Huyu binti anaonyesha kuwa ana potential ya kuwa kiongozi mzuri sana, kwa sababu kiukweli kwenye aspect ya kuchapa kazi yuko vizuri. Sasa tunataka kumuona jamii hii ikimheshimu na kumkubali zaidi ili aaminike kwa ajili ya kupewa dhamana kubwa huko mbeleni, ndiyo maana tunashauri ajiweke vizuri zaidi kimavazi, kiutamaduni, kimwenendo na katika kila kitu kinachomfanya kiongozi aheshimike na kuaminika mbele ya umma!
 

Observation nzuri sana ni uhuru wake aubebe au aukatae
 

..mimi nimeona hicho alichovaa kinafaa kuvaliwa akiwa ktk shughuli zake binafsi na sio wakati akiwa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…