DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

We jamaa unaweza ukawa hauko sawa. Kuna picha ya kifua wazi hapo?. Basi ungesema tu avae hijab,labda unataka hivyo? Vinginevyo umeona tu kuna haja ya kumnadi humu njia ukaona iwe hii
 
Mkuu usisahau kua kwa sasa yupo single, jaribu bahati yako... who knows!
 
Jojo tembea kifua mbere,

Kwani tafiti zinasema ,

Wanaume wanapotazama ziwa Victoria ndipo napo wanapoongeza siku zao.

Sasa Mh. DC usiache kabisa kutembea kifua mbere, tunakutegemea sana hutatuangusha.
 
Hili ombi ni kwa Jokate, msitokwe povu sana.

Naamini yeye ni mwenye busara atajua tu kuwa kama kuna watu wanakitolea macho kifua chake, hiyo tayari ni distraction katika uongozi wake.

Simlazimishi, ila kama akipenda basi aone tu kuwa kuna watu wanakiangalia kifua chake na wangependa kukiona kifua kizuri kama hicho kinafunikwa ili kisiwe distraction.
 
Ukizoea kulalamika unalalamika hadi mambo yasiyo ya msingi.

Nilidhani DC katubariki na cleavage kumbe kajisitiri vizuri kabisa.

Tatizo ni wewe unataka kila mtu aishi kwa standards zako ama DC anaamsha hisia zako (nahisi kumkosea Mh DC hapa), kama ni hivyo hata akivaa magunia mambo yataamka tu.

Mh DC aendelee kutupia hivyo hivyo. Kazi iendelee.
 
Mkuu uongozi si mavazi,

Na kama uongozi ni mavazi, viongozi bora wengi wangetoka Zanzibar.
 
Hili ombi ni kwa Jokate, msitokwe povu sana.

Naamini yeye ni mwenye busara atajua tu kuwa kama kuna watu wanakitolea macho kifua chake, hiyo tayari ni distraction katika uongozi wake.

Simlazimishi, ila kama akipenda basi aone tu kuwa kuna watu wanakiangalia kifua chake na wangependa kukiona kifua kizuri kama hicho kinafunikwa ili kisiwe distraction.
Sasa kwa nini umelileta hapa kama ni la kwake?

Hukutaka watu tutoe maoni yetu?
 
DC Jokate yupo vyema kabisa kimavazi anawakilisha vizuri na pia kikazi upo sawa kabisa, usisikilize watu wasiojua kuvaa.
 
Back
Top Bottom