DC Jokate Mwegelo na Uongozi wenye tija

DC na RC ni vyeo takataka tu. Vyeo vya kikoloni.

Havina maana yoyote zaidi ya kumlindia madaraka mtawala eneo husika. Mara nyingi hutumika kama rushwa kwa watu. Ni gharama zisizo na maana kwa mlipa kodi.

Bongo ukitaka uonekane unachapa kazi, wekeza kwenye promo na media.

Ndio maana kuna watu wanaona Makonda na Jafo wanafaa kuwa Marais nchi hii.
 
Waliokimbia tunaomba mrejesho wa mbio zilikuwaje huko?
Mimi ni mmoja wa waliokimbia leo 21.1Kms
Mbio zilichelewa sana kuanza, Normally Km21.1 huwa wanatakiwa kuanza saa 12.30 Asb badala yake walichelewa kuanza zaidi ya dak 45.

Baadhi ya washiriki wamekosa medal, hii ni dosari kubwa sana kwa Marathon na ni jambo ambalo litacost kwa kiwango kikubwa Marathon hiyo kwa nxt season.

Utaratibu wa kupokea wakimbiaji waliomaliza mbio haukuwa sawa, Finish point ilijaa wacheza singeli badala ya pakuacha wazi watu wamalize exactly Kms badala yake running apps nyingi zimesoma below required Kilometers kwa sababu ya kutofika kwenye finish point kutokana na kujaa wacheza singel.

Kamati ilijaa mamluki, Jokate alitumia mashost na vijana wa mjini ambao wengi ni wapigaji, watu pekee ambao niliwaona kwenye ile kamati ambao kwa hakika ni manguli katika hili game ni Gold girl na Eng. Katemba wengine wote walikuwa ni wanyoa viduku.

Hakukuwa na maji ya kutosha kwenye water point.

Hakukuwa na glucose kbs ambayo husaidia refuelling kwa wakimbiaji.

Hakukuwa na matunda hasa ndizi ambazo ni muhimu sana kwa wakimbiaji.

Route ya 21.1Km haikuwa na usalama wa kutosha kwa wakimbiaji, magari na pikipik yalikuwa yanakimbia sana bila kuwepo kwa tahadhari hasa Km ya 8-12 kbl ya turning point.

Kwenye event kama hizo siasa si mahala pale, kukimbia ni khs mood, at the moment umepoteza mood the whole workout inaharibika hapo.

Thats my observation
Nasema hayo through my experience kama social runner ambaye nimeshahudhuria zaidi ya Marathon 50 kubwa na ndogo.
 
Mkuu asante sana.
Obviously niliuliza ili nipate feedback kama yako ambayo imwtoa picha kwa wale wanaoandaa mbio kisiasa au kimaslahi wajue wanaharibu oicha halisi ya hizi mbio.

Nimekuwa nikishiriki kwenye mbio kadhaa kwa different participate ila nilichosikia kutoka huko kisalawe kinatia kinyaa ukizingatia muandaaji alipata shavu la uhakika kwa wadhamini wa kutosha but mbio kukosa maji, medal na usimamizi wa maana hapo ni KUSHINDWA!.

Tarehe 8.5.2021 kuna Tulia marathon kule Mbeya, hii ni moja ya pili ya mbio zinazoandaliwa na mwanasiasa, so let wait and see.
 
yatarekibishika mwamzo mgumu.hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Kwa sasa sisi wakimbiaji tushakubaliana kuchagua mbio za kushiriki, Mbio zilizoandaliwa na wanasiasa itakuwa ni marufuku unless wawe wame outsource coordinators au wamepata consultant ambaye ni mtaalam km walivyofanya NBC Marathon kwa ku hire mtaalam iwe International au local consultants!!!
 
Tatizo hawa akina Jokate, akifanya jambo hata kuosha sahani, tayari kaweka mitandaoni, hata akiongea na mkulima wa mihogo Kisarawe anaweka online, sasa hapo ndio utendaji kazi au ni kujitangaza tu. Kuna tofauti kubwa sana kufanya kazi iwe na impact kwa jamii na kujitangaza tangaza as if unafanya matangazo ya K-Vant.
 
yatarekibishika mwamzo mgumu.hata mbuyu ulianza kama mchicha
Ikiwa siasa itabaki kwenye issue za kisiasa na vitu vingine vitaendeshwa kitaalam.
Wakimbiaji both sosho na Maxpro na Pro tunaamini Rmrunning is a science...
 
Sawa mheshimiwa DC tumekusikia.
 
Huyu binti yuko smart, na kazi zake nazipenda pia. Vile vile huwa inaniuma sana ninapomuona halafu hajaolewa
 

Anafanya Yeye kama Yeye au nyuma yake kuna Nguvu kubwa ya Kimamlaka iliyochochewa na Mahusiano ya Adam na Eva yaliyoratibiwa Kimkakati kabisa tokea mwaka 2017?

Umeshajiuliza ni kwanini Wilaya zingine ambazo ni very potential Economically nchini au zinahitaji Msukumo kama wa Kisarawe huko hazipewi Vipaumbele japo nazo zinaongozwa na Wanawake kama huyo Jokate wenu wa Kisarawe?

Hongera zake jana niliona mahala pia akimpongeza ' Bamsampu ' wake aliyetupotea ghafla kwa muda mrefu, ila BBC ( Uingereza ) Al Jazeera ( UAE ) na Ntv ( Kenya ) ndiyo pekee tu wanajua Maficho aliyojifichia.
 
Neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…