DC Julius Mtatiro: Nchi nyingi sana duniani hununua umeme kutoka Nchi Jirani kwa sababu mbalimbali

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi nyingine:

mtatiro.png

AFRIKA

1. Tanzania – Inapanga kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia mpango wa Eastern Africa Power Pool (EAPP).
2. Kenya – Inanunua umeme kutoka Ethiopia na Uganda ili kuongeza upatikanaji wa nishati.
3. Rwanda – Inanunua umeme kutoka Uganda na Tanzania ili kufidia uhaba wa uzalishaji wa ndani.
4. Burundi – Inategemea umeme kutoka Rwanda na DRC.
5. South Africa – Inanunua umeme kutoka Msumbiji (Cahora Bassa Dam) na Namibia.
6. Botswana – Inanunua umeme kutoka Afrika Kusini kupitia Southern African Power Pool (SAPP).
7. Zambia – Inanunua umeme kutoka DRC na Afrika Kusini wakati wa uhaba.
8. Namibia – Inategemea ununuzi wa umeme kutoka Afrika Kusini na Zambia.

ULAYA

1. Uingereza – Inanunua umeme kutoka Ufaransa kupitia nyaya za chini ya bahari (interconnectors).
2. Ujerumani – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Denmark, hasa umeme wa nyuklia na upepo.
3. Italia – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Uswizi.
4. Hispania – Inanunua umeme kutoka Ufaransa.
5. Uholanzi – Inanunua umeme kutoka Ujerumani na Ubelgiji.

ASIA

1. India – Inanunua umeme kutoka Bhutan, ambayo inazalisha umeme mwingi wa maji.
2. Bangladesh – Inanunua umeme kutoka India.
3. China – Inanunua umeme kutoka Urusi na nchi jirani kama Laos kupitia mikataba ya nishati.

AMERIKA

1. Marekani – Inanunua umeme kutoka Kanada, hasa umeme wa maji kutoka Quebec.
2. Mexico – Inanunua umeme kutoka Marekani.
3. Brazil – Inanunua umeme kutoka Paraguay kupitia bwawa la Itaipu Dam.
4. Chile – Inanunua umeme kutoka Argentina.

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.

Mwisho wa Kukopi na kupesti

ASSIGNMENT: kwa kutumia para moja waeleze wana JF kile ambacho umejifunza kutokana na andiko hili adimu la Mwanasheria na DC Julius Mtatiro. Usitukane
Pia, Soma
 
Mnatupanga au sio! yani umeme utoke Ethiopia ambapo itapita kenya ndo ufike Tanzania halafu kusiwe na upotevu!, lakini mkatae umeme wakutoka tz hapahapa ambapo wazarishaji ni sisi wenyewe! na umbali hautakuwa mrefu!.
Sema mmeshatuona mazwazwa sana nafikiri mnatakiwa kuachia nchi sasa maana madaraka yameshawalevya mnatuchukulia kirahisi sana!.
 
KUHUSU TANESCO KUNUNUA UMEME ETHIOPIA - JIFUNZE!

Na. Julius Mtatiro - Shinyanga

Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi nyingine:

AFRIKA
1. Tanzania – Inapanga kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia mpango wa Eastern Africa Power Pool (EAPP).
2. Kenya – Inanunua umeme kutoka Ethiopia na Uganda ili kuongeza upatikanaji wa nishati.
3. Rwanda – Inanunua umeme kutoka Uganda na Tanzania ili kufidia uhaba wa uzalishaji wa ndani.
4. Burundi – Inategemea umeme kutoka Rwanda na DRC.
5. South Africa – Inanunua umeme kutoka Msumbiji (Cahora Bassa Dam) na Namibia.
6. Botswana – Inanunua umeme kutoka Afrika Kusini kupitia Southern African Power Pool (SAPP).
7. Zambia – Inanunua umeme kutoka DRC na Afrika Kusini wakati wa uhaba.
8. Namibia – Inategemea ununuzi wa umeme kutoka Afrika Kusini na Zambia.

ULAYA
1. Uingereza – Inanunua umeme kutoka Ufaransa kupitia nyaya za chini ya bahari (interconnectors).
2. Ujerumani – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Denmark, hasa umeme wa nyuklia na upepo.
3. Italia – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Uswizi.
4. Hispania – Inanunua umeme kutoka Ufaransa.
5. Uholanzi – Inanunua umeme kutoka Ujerumani na Ubelgiji.

ASIA
1. India – Inanunua umeme kutoka Bhutan, ambayo inazalisha umeme mwingi wa maji.
2. Bangladesh – Inanunua umeme kutoka India.
3. China – Inanunua umeme kutoka Urusi na nchi jirani kama Laos kupitia mikataba ya nishati.

AMERIKA
1. Marekani – Inanunua umeme kutoka Kanada, hasa umeme wa maji kutoka Quebec.
2. Mexico – Inanunua umeme kutoka Marekani.
3. Brazil – Inanunua umeme kutoka Paraguay kupitia bwawa la Itaipu Dam.
4. Chile – Inanunua umeme kutoka Argentina.

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.

Also, some version credit to @drney444

Mwisho wa Kukopi na kupesti

ASSIGNMENT: kwa kutumia para moja waeleze wana JF kile ambacho umejifunza kutokana na andiko hili adimu la Mwanasheria na DC Julius Mtatiro. Usitukane
Wizi utabaki kuwa Wizi.
Huo ni Wizi na haupingiki...andike majarida na majarida..
Mambo ni mengi muda ni mchache,wakitaka wakanunue hata Marekani wausafirishe chini ya Bahari who cares?
Lingekuwa jambo jema msingeshtuka na kutuma nguvu nyingi kuhabarisha raia.
Vitu vilovyoonyoka havitaji mambo mengi.

Mjitafakari..
 
M23 wanapigana ku mukongo, na ukiwauliza kwanini munapigana muvita, banasema, "tunatafuta haki"

Hapa kwetu kuna baadhi ya watu wanadai hakuna haki, Je, Watu wakiingia kwa misitu kupigania haki halafu waulizwe kwanini munafanya hivi wajameni na

Wakijibu mbona hata M23 banafanya hivo, banapigana kutafuta haki, nitakua nimetukana? I mean watakuwa bamekosea kujibu hivo? Ety kwasababu ni jambo la kawaida?

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.
 
Kutoka vyanzo vyetu hasara/transmission cost tumeambiwa ni 32B/year.

Huo wa Ethiopia tutanunua wa bei gani mwaka mzima?

Kama tofauti ni 2B si heri tutumie tu wa kwetu ukizingatia tuna ziada.

BTW:Reports za CAG zina upigaji wa maana kila mwaka na hatuoni hizi jitihada za makusudi mpaka tunahisi hata hii hekaya ya kununua Ethiopia ni kutegeneza mianya ya upigaji tu.
 
Kuelekea uchaguzi Mkuu nilisema tutaona mengi; Sasa, sasa, tumekwisha yasikia mengi tayali, tumekwisha ona mengi na sasa tunaendelea kuyaona na kuyasikia mengi. Maana yake ni kwamba Kutoka Morogoro hadi Manyara, Arusha na Tanga ni mbali zaidi kuliko kutoka Ehiopoa hadi kufika Mikoa ya kaskazini. kama itakua ni kweli basi hapo kuna shida. Kwa upande mwingine ni wakati wa tanzania kutafakari upya garama zetu za umeme.
 
Bora ningeenda tu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili nipige kura ya kuwaondoa hawa!
 
Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.
Hapa Mheshimiwa anasahau vyanzo vya umeme Tanzania viko vingapi, hataji hivyo vyanzo na uzalishaji wake ila anasema kuwa Tanzania HAINA VYANZO VYA KUTOSHA. Hapa Mkuu wa Wilaya amepuyanga kwa kweli. na kwa statement hii anapingana na Kauli ya Doto Biteko waziri mwenye dhamani ya mambo ya Nishati pamoja na Mwenyekiti wake.

Please Mtatiro acha kumu-outshine your Master

1741586055831.png

1741586096329.png

1741586128522.png
 
Kutoka vyanzo vyetu hasara/transmission cost tumeambiwa ni 32B/year.

Huo wa Ethiopia tutanunua wa bei gani mwaka mzima?

Kama tofauti ni 2B si heri tutumie tu wa kwetu ukizingatia tuna ziada.

BTW:Reports za CAG zina upigaji wa maana kila mwaka na hatuoni hizi jitihada za makusudi mpaka tunahisi hata hii hekaya ya kununua Ethiopia ni kutegeneza mianya ya upigaji tu.

Tuna mitambo ambayo production cost ipo chini, haiwezi compensate losses? Hao wa Ethiopia bei yao unawezaje Kuwa chini kwa extent ya Kuwa covered pamoja na transport cost and loses then iwe chini ya ya kwetu? Tunapigwa wazee
 
Bora ningeenda tu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili nipige kura ya kuwaondoa hawa!
Aisee Mimi mwenyewe hapa nafanya mpango nirudi Dari Salama nikarekebishe taarifa nimebadili kituo Cha kura.
Nataka niwapigie kura tena wapinzani.
Sijui itakuwaje na hii "No reform, no election"?
 
KUHUSU TANESCO KUNUNUA UMEME ETHIOPIA - JIFUNZE!

Na. Julius Mtatiro - Shinyanga

Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi nyingine:

AFRIKA
1. Tanzania – Inapanga kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia mpango wa Eastern Africa Power Pool (EAPP).
2. Kenya – Inanunua umeme kutoka Ethiopia na Uganda ili kuongeza upatikanaji wa nishati.
3. Rwanda – Inanunua umeme kutoka Uganda na Tanzania ili kufidia uhaba wa uzalishaji wa ndani.
4. Burundi – Inategemea umeme kutoka Rwanda na DRC.
5. South Africa – Inanunua umeme kutoka Msumbiji (Cahora Bassa Dam) na Namibia.
6. Botswana – Inanunua umeme kutoka Afrika Kusini kupitia Southern African Power Pool (SAPP).
7. Zambia – Inanunua umeme kutoka DRC na Afrika Kusini wakati wa uhaba.
8. Namibia – Inategemea ununuzi wa umeme kutoka Afrika Kusini na Zambia.

ULAYA
1. Uingereza – Inanunua umeme kutoka Ufaransa kupitia nyaya za chini ya bahari (interconnectors).
2. Ujerumani – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Denmark, hasa umeme wa nyuklia na upepo.
3. Italia – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Uswizi.
4. Hispania – Inanunua umeme kutoka Ufaransa.
5. Uholanzi – Inanunua umeme kutoka Ujerumani na Ubelgiji.

ASIA
1. India – Inanunua umeme kutoka Bhutan, ambayo inazalisha umeme mwingi wa maji.
2. Bangladesh – Inanunua umeme kutoka India.
3. China – Inanunua umeme kutoka Urusi na nchi jirani kama Laos kupitia mikataba ya nishati.

AMERIKA
1. Marekani – Inanunua umeme kutoka Kanada, hasa umeme wa maji kutoka Quebec.
2. Mexico – Inanunua umeme kutoka Marekani.
3. Brazil – Inanunua umeme kutoka Paraguay kupitia bwawa la Itaipu Dam.
4. Chile – Inanunua umeme kutoka Argentina.

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.

Also, some version credit to @drney444

Mwisho wa Kukopi na kupesti

ASSIGNMENT: kwa kutumia para moja waeleze wana JF kile ambacho umejifunza kutokana na andiko hili adimu la Mwanasheria na DC Julius Mtatiro. Usitukane

Sawa Mtatatiro. Kwa nini na sisi tusiwe kama Ethiopia, France na Canada ambao hawanunui ila wanauza?

Tanzania ina vyanxo vingi sana vya umeme. Kwa nchi kama yetu knatakiwa ilitakiwa tuwe wazalidhsji wakubwa. Imagine tuna JKN dam, Mtera, Kihansi. Bwawa la Mungu, Pangani, Kidatu na umeme wa gas.
 
Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi nyingine:

AFRIKA

1. Tanzania – Inapanga kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia mpango wa Eastern Africa Power Pool (EAPP).
2. Kenya – Inanunua umeme kutoka Ethiopia na Uganda ili kuongeza upatikanaji wa nishati.
3. Rwanda – Inanunua umeme kutoka Uganda na Tanzania ili kufidia uhaba wa uzalishaji wa ndani.
4. Burundi – Inategemea umeme kutoka Rwanda na DRC.
5. South Africa – Inanunua umeme kutoka Msumbiji (Cahora Bassa Dam) na Namibia.
6. Botswana – Inanunua umeme kutoka Afrika Kusini kupitia Southern African Power Pool (SAPP).
7. Zambia – Inanunua umeme kutoka DRC na Afrika Kusini wakati wa uhaba.
8. Namibia – Inategemea ununuzi wa umeme kutoka Afrika Kusini na Zambia.

ULAYA

1. Uingereza – Inanunua umeme kutoka Ufaransa kupitia nyaya za chini ya bahari (interconnectors).
2. Ujerumani – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Denmark, hasa umeme wa nyuklia na upepo.
3. Italia – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Uswizi.
4. Hispania – Inanunua umeme kutoka Ufaransa.
5. Uholanzi – Inanunua umeme kutoka Ujerumani na Ubelgiji.

ASIA

1. India – Inanunua umeme kutoka Bhutan, ambayo inazalisha umeme mwingi wa maji.
2. Bangladesh – Inanunua umeme kutoka India.
3. China – Inanunua umeme kutoka Urusi na nchi jirani kama Laos kupitia mikataba ya nishati.

AMERIKA

1. Marekani – Inanunua umeme kutoka Kanada, hasa umeme wa maji kutoka Quebec.
2. Mexico – Inanunua umeme kutoka Marekani.
3. Brazil – Inanunua umeme kutoka Paraguay kupitia bwawa la Itaipu Dam.
4. Chile – Inanunua umeme kutoka Argentina.

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.

Mwisho wa Kukopi na kupesti

ASSIGNMENT: kwa kutumia para moja waeleze wana JF kile ambacho umejifunza kutokana na andiko hili adimu la Mwanasheria na DC Julius Mtatiro. Usitukane
Pia, Soma
Maelezo ni mengi lakini hayana msingi wa kujibu hoja, Bwawa la Nyumba ya Mungu Kilimanjaro na Hale Tanga uzalishaji wake umesimama? Na kama unaendelea je wanazalisha kwakiasi gani kuingiza kwenye Grid ya taifa? Na je mahitaji ya Kaskazini ni kiasi gani? Je uzalishaji wa Nyumba ya Mungu na Hale hayatoshelezi kwa Kaskazini?Huko tunakotaka kununua na Mabwawa yaliyopo Kaskazini wapi mbali?
 
Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi nyingine:

AFRIKA

1. Tanzania – Inapanga kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia mpango wa Eastern Africa Power Pool (EAPP).
2. Kenya – Inanunua umeme kutoka Ethiopia na Uganda ili kuongeza upatikanaji wa nishati.
3. Rwanda – Inanunua umeme kutoka Uganda na Tanzania ili kufidia uhaba wa uzalishaji wa ndani.
4. Burundi – Inategemea umeme kutoka Rwanda na DRC.
5. South Africa – Inanunua umeme kutoka Msumbiji (Cahora Bassa Dam) na Namibia.
6. Botswana – Inanunua umeme kutoka Afrika Kusini kupitia Southern African Power Pool (SAPP).
7. Zambia – Inanunua umeme kutoka DRC na Afrika Kusini wakati wa uhaba.
8. Namibia – Inategemea ununuzi wa umeme kutoka Afrika Kusini na Zambia.

ULAYA

1. Uingereza – Inanunua umeme kutoka Ufaransa kupitia nyaya za chini ya bahari (interconnectors).
2. Ujerumani – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Denmark, hasa umeme wa nyuklia na upepo.
3. Italia – Inanunua umeme kutoka Ufaransa na Uswizi.
4. Hispania – Inanunua umeme kutoka Ufaransa.
5. Uholanzi – Inanunua umeme kutoka Ujerumani na Ubelgiji.

ASIA

1. India – Inanunua umeme kutoka Bhutan, ambayo inazalisha umeme mwingi wa maji.
2. Bangladesh – Inanunua umeme kutoka India.
3. China – Inanunua umeme kutoka Urusi na nchi jirani kama Laos kupitia mikataba ya nishati.

AMERIKA

1. Marekani – Inanunua umeme kutoka Kanada, hasa umeme wa maji kutoka Quebec.
2. Mexico – Inanunua umeme kutoka Marekani.
3. Brazil – Inanunua umeme kutoka Paraguay kupitia bwawa la Itaipu Dam.
4. Chile – Inanunua umeme kutoka Argentina.

Kwa hiyo, ununuzi wa umeme kati ya nchi ni jambo la kawaida duniani, hasa kwa nchi ambazo hazina vyanzo vya kutosha au zinatafuta umeme wa gharama nafuu kutoka nchi jirani.

Mwisho wa Kukopi na kupesti

ASSIGNMENT: kwa kutumia para moja waeleze wana JF kile ambacho umejifunza kutokana na andiko hili adimu la Mwanasheria na DC Julius Mtatiro. Usitukane
Pia, Soma
Tanzania tunananua nje kwa sababu gani? Maana kama ni upotevu kutoka mbali, bado Ethiopia ni mbali zaidi. Hatuna upungufu pia wa umeme. Kama tumefuata bei, kulikuwa na sababu gani ya kujenga bwawa kwa gharama kubwa, wakati tuna umeme wa gas hapo kinyerezi?
 
Back
Top Bottom