DC Julius Mtatiro: Nchi nyingi sana duniani hununua umeme kutoka Nchi Jirani kwa sababu mbalimbali


Hizo nchi zote ulizoorodhesha ziko Jirani, SIsi Ethiopia siyo Jirani yetu
 
Issue ya Kununua Umeme kwa Majirani hakuna Mtu anapinga Ni jambo La Kawaida ndio mana Mikoa kama Kigom, Rukwa na Kagers ilikuwa offgrid kwasbabu ya Umbali na Vyanzo vya uzalishaji ila kwa sasa yote ipo Connected kwenye Grid na Tulisheherekea kama Sehemu ya Mafanikio kuondoa Mikoa hio Offgrid

Umeme Ni National Security matter kiufupi Kucheza na Nishati ni Kucheza na Usalama wa Taifa letu ndio mana Sera za Wizara ni Kufanya Kila liwezekanalo ili tupate Energy Independence hii ndio Policy za Wizara

Kufanya Investment kubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kesho kuamka na kusema Kuwa gharama za Kusafirisha Umeme mpaka Upande wa northern ni ghali sana Kuliko Kununua Umeme Ethiopia sisi tutakushangaa sana sana. Tena Unataka Kununua umeme katika mazingira ambayo una Surplus kwenye Generations

Leo unataka Ufanye Ukanda wa Kaskazini utegemee umeme wa Nje ya Nchi vipi hayo mataifa unayotaka Yakuuzie kesho yakiamka yana Scarcity au Yakaingia Kwenye Vita unategemea wataendelea kukuzia?
 
Kura is nothing nowdays.
Sijui itakuwaje, nipo njia panda kuhusu wapinzani wasusie uchaguzi au washiriki tuwape wabunge wa kutosha wakashinikize reforms bungeni.
Kwa mfumo uliopo sasa CCM wanajihakikishia mgombea wao wa uraisi kutangazwa Mshindi regardless ....
Simalizii sentensi sina mwanasheria kwa sasa.
 
Msituletee hoja za kulinganisha ili kuhalalisha wizi wenu.
Umbali kutoka Arusha mpaka Rufiji ni Km 805.6
Umbali kutoka Arusha mpaka Ethiopia ni Km 1,941.6
Hivi nyie CCM mnatuchukuliaje?
 
Msituletee hoja za kulinganisha ili kuhalalisha wizi wenu.
Umbali kutoka Arusha mpaka Rufiji ni Km 805.6
Umbali kutoka Arusha mpaka Ethiopia ni Km 1,941.6
Hivi nyie CCM mnatuchukuliaje?
Ukiwakazia wanakwambia hujawaelewa
 
swali letu ni hvi

swali letu,
kwa nn tununue wakati mlituambia bwawa letu uzalishaji wake ni mkubwa mpk kuuza nje ya nchi?
 
TANZANIA INAKOPA FEDHA KUTOKA ULAYA, MAREKANI, then yenyewe inatoa misaada kwa MALAWI wakati wa majanga...🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣😂🤣😂🤣
 
Swali si hilo bwana Mtatiro, Kama tunao umeme wa kutosha (Na ninyi mlisema kwa majigambo kwamba upo wa kumwaga) kwanini tunanua nje, acheni hadithi zenu za uongo. Kwa hiyo mtakaouza Kenya haupotei?????? Hizi hekaya za Msigwa, anaona kabisa kuwa si kweli ila anajikaza. Kama mnaoupeleka Kenya haupotei, inakuwaje unaotakiwa uende Arusha unapotea? Tunaomba ufafanuzi.
 
Eeh washushe Bei ya umeme- wetu wa hapa nchini kwa kweli !
 
Sisi tunauzia nchi zipi au sifa nzuri ni kununua na si kuuza .......!
 
Hatuwaelewi mzee!! Msiliingize taifa kwenye hasara kizembezembe! Kwanza kaskazini Kuna bwawa la nyumba ya Mungu linazslisha umeme mwingi tu utakaotosha kulisha kaskazini kama ni kuongeza ni kidogo sana.
 
Ye
Yeah kwa nini wasiige hizo nchi zingine zinazouza umeme hapo lazima kuna wanufaika ndio maana wanapigia debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…