johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wahehe wanapenda sifa ni wajanja kutekeleza utapeliMkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyu DC ni Mjinga na Mpumbavu kama ulivyo wewe.Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Je na yeye akitenda kosa acharazwe bakora na walioko juuyake?Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ndio uzalendo unavyotaka!Je na yeye akitenda kosa acharazwe bakora na walioko juuyake?
Wahehe ni kati ya viumbe wa ajabu wenye ujinga mwingi na kujikomba nawafahamu vizuri sanaHahahaaaa.........wahehe hawatakagi ujinga!
Mpuuzi huyu sheria ipi inamruhusu kuchapa? Ataingia kwenye anga zangu niisambaze hiyo receiption.Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Uzalendo kwanza!hivi huyo mpumbav alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?
je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? ni mahakama au
Mkumbushe kuwa "Cheo ni dhamana"Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Haaaaahaaaa kk wewe kweli unawajua tupo nao ofisini hp mdananda kishenziWahehe ni kati ya viumbe wa ajabu wenye ujinga mwingi na kujikomba nawafahamu vizuri sana
Navalonge swela!Wahehe ni kati ya viumbe wa ajabu wenye ujinga mwingi na kujikomba nawafahamu vizuri sana
Ndio uzalendo unavyotaka!
Utamchapaje fimbo mtu mzima makalioni mbele ya watu na waandishi? This dude should stop evolving and and walk up right. This is 21st century.
FAKIN ANNOYING
Acha kujificha kwenye kichaka cha uzalendoNdio uzalendo unavyotaka!
Lema aliwalea vibaya hao machalii!Ana hoja za kijinga sana huyo jamaa, kuwachapa na kulipa bila mahakama kudhibitisha makosa ya hao watu huo sio utawala wa sheria bali ni uhalifu. Ni sawa na wale majambazi wanaoteka magari na kupiga watu, kisha hizo pesa za wizi wanaenda kusaidia jamii zao. Kama kiongozi anaweza kupiga watu ili walipe, mahakama ziko kwa ajili gani?
Ina maana bila kuwachapa wasingelipa hiyo fidia?Mkuu wa wilaya ya Arusha mh Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo xitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Lema aliwalea vibaya hao machalii!