DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

Angefanya hivi mkoani mara hawa kwa wakurya angekiona cha moto.

Wamuulize bwana slow slow kule ziwani alikuwa akijidai kwenda usiku kufanya doria kilichomtokea anajua mwenyewe hadi kuacha udisiii
Hivi Polepole amewahi kuwa DC?
 
Back
Top Bottom