DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

Hiyo tabia si ya kuendelea nayo. Tufanye alipitiwa tu,naamini ule msemo wa kutenda kosa si kosa atautumia.
 
Utamchapaje fimbo mtu mzima makalioni mbele ya watu na waandishi? This dude should stop evolving and and walk up right. This is 21st century.

FAKIN ANNOYING
Unajua kuna watu mpaka leo hawajajua hii nikarne ya ngapi, usishangae mzungu kukutupia ndizi mwafrika ukasema umedharauliwa wakat akili yako inafanana sawa na wanyama wa porini. Dunia ya leo mpaka nyani ana take selfie.
 
Kuna vijiongozi nchi hii vinadhani vyenyewe tuu ndivyo vinastahili heshima kisa vinaweza kuamrisha polisi wakutese!! wasio na cheo hawana heshima... Mbona maded walonunua migari ya milioni mianne hawajachapwa viboko?? These are clout chaser poor,rubish,stupid leaders.
Msiturudishe zama za utumwa kipumbafu namna hii tuishi kwa kuheshimiana hasa vijiongozi vijinga!!
 
Kwani asingewachapa wasingelipa? Huu ukuu wa wilaya sijui wanapataje!Kumbe hata ukiua unaweza kujiita mzalendo? Dulllness.
 
His thinking is very stupid.
 
Tunaomba Mh.Rais amfukuze kazi huyu, maana kuchapa viboko raia katika mazingira yale ni kosa. Angekuwa raia wa kawaida ungesikia watu fulani wakisema "Amejichukulia Sheria mkononi'.Lakini Sasa hivi Kama hawaoni.
 
Kama ni vyema na haki,tunaomba mh.rais awe anawachapa viboko viongozi wa chini yake wanapokosea.Aanze na mkurugenzi wa Geita.
 
Hata wawekezaji wataogopa kuja kuwekeza maana DC mwehu kama huyu anaweza kuamua kuwachapa bakora ili amfurahishe mfalme
 
Another Bashite au yule Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (Aliyekuwa Msemaji Club ya Yanga)...Huyo dogo inaonekana upstairs hamna kitu kabisa. Na amejistukia tayari kuwa mda wowote ni kutumbuliwa ndio maana ya haya maigizo yoote. Shame on him!
 
Uzalendo bila kufuata sheria na taratibu za nchi ni uwendawazimu
 
Hahahaaaa.........wahehe hawatakagi ujinga!
Mbona fedha waliyotozwa haitoshi? Dawati na kiti gharama ni shs. 100,000/=, fedha zilizolipwa zinatosha seti 54 tu wakati seti zilizoibwa ni zaidi ya 100.
 
Haaaaahaaaa kk wewe kweli unawajua tupo nao ofisini hp mdananda kishenzi
Mijitu ya ajabu mpaka kero yanajipendekeza sana ila kuwa nao makini ni matapeli na mashirikina sana
 
Wawekezajj wezi wala hatuwataki nyinyi mkichukua nchi baada mwaka 3020 mtawaruhusu kuharibu miundombinu ya nchi kwa kuwa nyinyi ni mazezeta!!
3020 hakutakuwa na nchi inayoitwa Tanzania
 
Utamchapaje fimbo mtu mzima makalioni mbele ya watu na waandishi? This dude should stop evolving and walk up right. This is 21st century.

FAKIN ANNOYING
Mimi huwezi kunichapa labda unifunge kamba au pingu miguu na mikono ila tofauti na hapo zitapigwa ngumi nzito mpaka FFU waje kuamulia.!
Kwanza ni kifungu gani cha sheria kinasema awachape viboko watu wazima hadharani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…