Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi Mtu Mjinga kama huyu aliwezaje kuwa DC?
 
Nadharia;-

1.Sio bogus anasanua wapinzani Kwa maelekezo maalum!

2.Anawaambia wagombea wa 2025 ambao wanajiona Wana mapesa na Ushawishi mkubwa kwamba hawatoshinda bila dola kuamua kushinda hata namba moja!!

3.Ana signal Hali ya hatarikuelekea uchaguzi ujao kwamba utakua na. Umafia sana haijalishi una umaarufu au hauna Bali kile dola inataka ndicho kitakachopitishwa no matter what!
 
Hivi kwa nini serikali inachezea kodi zetu kufanya maigizo ya kile kinaitwa uchaguzi wakati mumeshafanya maamuzi ya kuwapitisha wagombea wa CCM pekee?
 
Sahihi
 
Mmeanza Tena kumsagia kunguni mwenzenu ...ila na haya majamaa huwa hayajifunzi Kwa nape nnauye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…