CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huu uzi hauna maisha mods hawapendi CCM iumbuliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa ccm na serikali yake kila siku wanazidi kuudhibitishia ulimwengu kuwa sanduku la kura halina umuhimu.
Cool down! Amesema kadiri ya wanavyotenda labda mazingira ndio yamhukumu.Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Karogwa huyo....ajitafutie tiba...Watu wenye tabia kama ya huyu ndiyo wamejaa sana ndani ya utawala wa sasa.
Huyo kumbuka ni kada mtiifu wa CCM.
Kwa lengo gani mkuu wangu ?Watu Kama hawa tusevu majina yao
Mambo ya Shujaa 😆😆Hii kauli ya mkuu wa Wilaya ya Longido imeniogopesha sana
Niishie hapo 🐼
Daah!Mambo ya Shujaa 😆😆
Kwani kiongozi kama huyu hakufanyiwa vetting mpaka kupewa wadhifa huo?Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Labda walikopotezewa wale waliochukuliwa na Watu WasiojulikanaKwenye MAPORI alifanya nini ?!!
Awaeleze watanzania....alifanya nini huko maporini ?!!
😂😂😂😂Mambo ya Shujaa 😆😆
Tunazipata hizi clips kwa sababu kuna upinzani humohumo ndani ya CCM....chama kinamfia mama....Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma: Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Mkuu Kuna ukweli wowote?Huu uzi hauna maisha mods hawapendi CCM iumbuliwe