Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama wachawi wale wanaoroga na kuua watu, wakikaribia kufa wanaanza kuropoka..anawataja wote aliowaua na mambo yote mabaya aliyowafanyia watu.Wezi wa kura wanajiumbua
sehemu ambayo ni very disturbing kwenye hii kauli yake ni hapo anaposema maporini. Na huyu yawezakana atakuwa TISS au ni kada wa ccm ambaye ni mmojawapo wa task force maalum ya kuratibu hizo harakati tena idara ya political wing. Maana anaposema 'tuna database ya nchi nzima...' inaonekana ni kitu anakijua haswa.. Dah hapo kwenye neno maporini nimewaza sana ya akina ben sa8 , ulimboka, azore et al. MAPORINI. Neno maporini. DAH! .
To all parties except CCMEspecially in Lumumba
Ukweli wanakili, sawa lakini kwanini iwe sasa.Utadhani walikuwa wakipewa dozi ya kutojitambua wakiwa wanatenda maovu, ila kwa sasa wamenyimwa hiyo dozi ndio wanajitambua?Na ni kwanini wanaanza kusema ukweli kipindi hiki tena bila kuulizwa?
Au ndo ukweli wa ule msemo, " karma never forget your address" inakurudia tu hata kama ni baada ya miaka 100!
Umenikumbusha kisa kigumu mno kilichoikumba familia moja hivi, Bibi aliharibu wajukuu kisa hamtaki mke wa mwanae, karibu anadedi akafunguka yooote.Ni kama wachawi wale wanaoroga na kuua watu, wakikaribia kufa wanaanza kuropoka..anawataja wote aliowaua na mambo yote mabaya aliyowafanyia watu.
Huyo Mama mwenyewe aliwahi kusemaje??? "Hata mkiwapa kura huo upande wa pili sisi ndiyo tutaunda serikali". Wote ni walewale tu!!!Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.