GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
🤣🤣🤣Dc kasema Yeye yuko Tough na Haogopi Mtu.
Yule DC ni mtu wa nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Dc kasema Yeye yuko Tough na Haogopi Mtu.
Yule DC ni mtu wa nguvu.
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.
Kauthibitishia Umma mambo matatu-;
1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,
2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,
3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
View: https://x.com/nulphin/status/1830306886001770912?t=NGqfrJJv7P81empQfZHQ5Q&s=19
Hapana, uchaguzi usifanyike kabisa! Kwa nini kutumia mabilioni ya fedha kutafuta jibu huku tayari unalo jibu husika?Ishu hapo ni kutoshiriki kabisa. Ili kuwarahisishia michakato ya wote wapite bila kupingwa.
Nyie mnatoaga wapi hizi clips?Karibuni
Tanganyika... Jina zuri kuzidi Tanzania!Inanihusu ..pitia threads zangu unifahamu zaidi..kwa ufupi nipo huku Tanganyika,naendelea kutoa ELIMU ya URAiA..karibu
Wasemeje ? Kwamba hawakumtuma "porini?"Wamefanya vema.
Lakini Mamlaka yake ya uteuzi ije hadharani kutolea ufafanuzi kauli zake.
Karibu mkuu wake wa Chama alijibu.Kwani Ile issue ya Nape walikuja kutoa ufafanuzi?
Kama kuna upuuzi sijawahi fanya nchi hii, ni kupiga kura🤣🤣Duuu hii kali, hii inafanana na ile ya Nape. Kwa hiyo kupiga kura ni kiini macho?
Sure..ni moja ya Wilaya zilizopo mkoa wa KataviTanganyika... Jina zuri kuzidi Tanzania!
AhahahahahSure..ni moja ya Wilaya zilizopo mkoa wa Katavi
jambazi
FactTanganyika... Jina zuri kuzidi Tanzania!
Kwakuwa wamemtimua kuna kitu wanakijua katika yale aliyosema DC.Wasemeje ? Kwamba hawakumtuma "porini?"
Nani afanye hivyo?Hicho chama hukijui wewe.Kwakuwa wamemtimua kuna kitu wanakijua katika yale aliyosema DC.
So waje waseme chochote, kukanusha, kufafanua au kukiri na kuomba msamaha.
Kila siku tunawaambia hapa ccm bila dola hamna kitu. Wao wanasema hamna upinzaniDuuu hii kali, hii inafanana na ile ya Nape. Kwa hiyo kupiga kura ni kiini macho?
🤔🤔🤔🤔Hawa wapumbavu ni swala la muda tu Tena imebaki kidogo sana watakimbia.
Unaona eh!!! Wao walitaka upinzani wa kupigana vita na dola labda ndiyo waamini kuwa kuna upinzani.Lakini nchi yetu ni nchi ya amani tangu mwanzo kwa hiyo hatutegemei siasa za DRC,South Sudan,Sudani,Ethiopia,Chad,Somalia,Uganda,Rwanda na Burundi.Kila siku tunawaambia hapa ccm bila dola hamna kitu. Wao wanasema hamna upinzani
Cc. Mwashwambo