Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ishu hapo ni kutoshiriki kabisa. Ili kuwarahisishia michakato ya wote wapite bila kupingwa.
Hapana, uchaguzi usifanyike kabisa! Kwa nini kutumia mabilioni ya fedha kutafuta jibu huku tayari unalo jibu husika?
 
Haya!
 

Attachments

  • IMG-20240902-WA0041.jpg
    IMG-20240902-WA0041.jpg
    72.7 KB · Views: 4
Kila siku tunawaambia hapa ccm bila dola hamna kitu. Wao wanasema hamna upinzani
Cc. Mwashwambo
Unaona eh!!! Wao walitaka upinzani wa kupigana vita na dola labda ndiyo waamini kuwa kuna upinzani.Lakini nchi yetu ni nchi ya amani tangu mwanzo kwa hiyo hatutegemei siasa za DRC,South Sudan,Sudani,Ethiopia,Chad,Somalia,Uganda,Rwanda na Burundi.
 
Back
Top Bottom