Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kachanganyikiwa...

Karogwa.....

Huyo karogwa ?!!

Kala USAMBO ?!!

Kwani amelishwa USAMBO ?!!

Hayo ni maneno yake....yeye mwenyewe....
 
Watu wenye tabia kama ya huyu ndiyo wamejaa sana ndani ya utawala wa sasa.

Huyo kumbuka ni kada mtiifu wa CCM.
Karogwa huyo....ajitafutie tiba...

Si bure...


Hayo ni maneno yake kutoka kinywani MWAKE....yeye
 
Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Kwani kiongozi kama huyu hakufanyiwa vetting mpaka kupewa wadhifa huo?
 
Tunazipata hizi clips kwa sababu kuna upinzani humohumo ndani ya CCM....chama kinamfia mama....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…