Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote nawaambiaga msemo guy "less minded people always discuss people rather than issues ". Under this circumstance we can not get anywhere. How can we proud ourself as great thinkers while we are spending more time discussing people rather than issues.Salamu kwenu;
Ni sahihi kweli mtu akishatimiza miaka 18,anaingia katika umri wa utu uzima.
Linapokuja suala la kuwa kiongozi inahitaji zaidi ya kuwafikia tu na umri wa utu uzima.
Kwa mfano,nafasi ya urais ililazimu watu waipiganie iwe kuanzia umri wa miaka 40. Ingawa kwa upande wangu huu umri bado haufai kushika nafasi ya juu kabisa kiuongozi.
Huyu DC,kwa umri wake huo kweli anatosha kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama wa wilaya?
Jaribu kuifahamu ile kamati ya ulinzi ya wilaya.
Hata kama ni ukada kwa umri huo sidhani kama ameiva na kupewa hiyo nafasi.
Source; millardayo.com
Nawatakia siku kuu njema za noeli na mwaka mpya 2017
Umeona ehhh hapa itabidi tukawaulize RITA kwakwelihafananii na umri wake....
'Mfalme' hata mtoto mchanga anaweza kutawazwa! Vigezo na mashartiMfalme Manase wa Israeli alianza kutawala akiwa na miaka 15 huku Mfalme Yosia alianza kutawala akiwa na miaka nane ya kuzaliwa.
mfalme anaweza kutawala hata akiwa na miaka ,mitano mbonaMfalme Manase wa Israeli alianza kutawala akiwa na miaka 15 huku Mfalme Yosia alianza kutawala akiwa na miaka nane ya kuzaliwa.
Anasoma Jangwani anaongoza kipindi ITVasante kumbe wamjua
ha ha ha ha du, huenda akikua ataachaAnasoma Jangwani anaongoza kipindi ITV
Miaka zaidi ya 15 iliyopita
Huyu ni mdada anayetokea Pwani ambao tabia zao ni kujiona watoto
Ni mdada wa umri wa kutosha tu zaidi ya 30
Ukikaa nae meza moja huwa hana points kabisa
APUUZWE tu
This is JFMambo mengine ni upuuzi tu huyo bibi anayejiita 23 yrs ni uongo , kwanza alikuwa anasoma open akaacha alipoteuliwa UDC pia ana mtoto mkubwa tu wa miaka 6 ,
Uongo huyo DC kiufupi ni Mkeka wa wageni na yoyote yule, kiufupi ni gusa twende