DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

Mambo mengine ni upuuzi tu huyo bibi anayejiita 23 yrs ni uongo , kwanza alikuwa anasoma open akaacha alipoteuliwa UDC pia ana mtoto mkubwa tu wa miaka 6 ,

Uongo huyo DC kiufupi ni Mkeka wa wageni na yoyote yule, kiufupi ni gusa twende
 
6+7+4+2+3 = 22.......akiwa na miaka 22 ndio anamaliza chuo kikuu, mwaka wa 23 anakuwa DC no MSOTO na exposure.
6+7+4+2 = 19 hapo aliishia form six na hakuendelea chuo kikuu, anasota miaka 3 mtaani mpaka miaka 22 mwaka wa 23
anakuwa DC, Exposure miaka 3 inatosha kuwa DC.
4+5+3 +1 = 13 akiwa na miaka 13 anamaliza kabisa shule na kuingia kutafuta maisha, hapo alikuwa na akili sana na akarushwa madarasa na pia amesoma chekechea akiwa na miaka 4..

PIGA MWENYEWE CALCULATION KICHWANI HALAFU UONE HESABU KAMA ZINAKUBALI..
 
Kama ameonekana anauwezo na anafaa sioni tatizo....busara,uongozi mtu anazaliwa navyo.naona hili swala halina shida na ukiangalia watoto wanavyowahi kuanzishwa shule skuhz
 
Salamu kwenu;
Ni sahihi kweli mtu akishatimiza miaka 18,anaingia katika umri wa utu uzima.
Linapokuja suala la kuwa kiongozi inahitaji zaidi ya kuwafikia tu na umri wa utu uzima.
Kwa mfano,nafasi ya urais ililazimu watu waipiganie iwe kuanzia umri wa miaka 40. Ingawa kwa upande wangu huu umri bado haufai kushika nafasi ya juu kabisa kiuongozi.
Huyu DC,kwa umri wake huo kweli anatosha kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama wa wilaya?
Jaribu kuifahamu ile kamati ya ulinzi ya wilaya.
Hata kama ni ukada kwa umri huo sidhani kama ameiva na kupewa hiyo nafasi.
Source; millardayo.com
Nawatakia siku kuu njema za noeli na mwaka mpya 2017
Siku zote nawaambiaga msemo guy "less minded people always discuss people rather than issues ". Under this circumstance we can not get anywhere. How can we proud ourself as great thinkers while we are spending more time discussing people rather than issues.
 
tatizo liko wapi jamani
kama mtu uwezo wa kuongoza kwanini asipewe nafasi
 
kwa mfumo wa elimu ya tanzania, mpaka unapata degree ya kwanza(ya mika 3) walau unakuwa na umri wa miaka 23. kwa umri huo alitakiwa kuwa chuo, vinginevyo si msomi. mteuzi ana haki ya kumweka amtakaye, lakini inawakatisha tamaa wanao fanya kazi kwa bidii ili kupanda ngazi kiutawala. pawe na mfumo wa kupanda, eg makatibu tarafa wawekwe wasomi, wakuu wa wilaya watokane na makatibu tarafa, wakuu wa mikoa watoke kwa ma dc nk nk. pamoja na kuwa na kipaji, uzoefu ktk shughuli yoyote ni muhimu sana,
 
Nimemuona akijiganda mtandaoni, kuna kipande cha video anaongelea mwanaume anayehitaji kuolewa naye. Lakini huyu DC ukweli ni kwamba atakua amechongesha cheti cha kuzaliwa. Maana kwa ule mwili ni sawa na bibi mwenye miaka 40 kwa hapa TZ. Elimu yake kaishia wapi? Maana miaka 23 mhhhh!!!! Huko CCM wenye elimu ya kutosha na weledi wa kuongoza wameisha?
 
Ukiangalia sura tu unajua ana more than 27 hiyo 23 ni uzushi tu
 
Anasoma Jangwani anaongoza kipindi ITV
Miaka zaidi ya 15 iliyopita
Huyu ni mdada anayetokea Pwani ambao tabia zao ni kujiona watoto
Ni mdada wa umri wa kutosha tu zaidi ya 30
Ukikaa nae meza moja huwa hana points kabisa
APUUZWE tu
ha ha ha ha du, huenda akikua ataacha
 
Mambo mengine ni upuuzi tu huyo bibi anayejiita 23 yrs ni uongo , kwanza alikuwa anasoma open akaacha alipoteuliwa UDC pia ana mtoto mkubwa tu wa miaka 6 ,

Uongo huyo DC kiufupi ni Mkeka wa wageni na yoyote yule, kiufupi ni gusa twende
This is JF
 
kuna kauuongo

Utangulizi
 
Back
Top Bottom