DC Mpogolo: Kipindi cha mwezi mmoja Barabara ya Tabata Bima–Kimanga itakuwa na lami

DC Mpogolo: Kipindi cha mwezi mmoja Barabara ya Tabata Bima–Kimanga itakuwa na lami

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na TARURA imeanza utekelezaji wa ukarabati wa barabara ya Tabata Bima–Kimanga iliyopo wilaya ya Ilala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu na kuondoa changamoto ya usafiri kwa wananchi wa eneo hilo, hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya.

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa barabara hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema tayari Serikali imepokea fedha kutoka kwa Rais, Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo wa Mita 650 unaolenga kujengwa kwa kiwango cha zege.

Pia soma:
~
Barabara ya Tabata Kimanga for years haipitiki, mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwiii
~ Dar: Janga la Barabara Tabata, mtaa wa NSSF
~ Ubovu wa Barabara Kimanga, Daladala zatishia kusitisha huduma
~ Dimbwi hili barabara ya Tabata Segerea ni shida, mvua ikinyesha inakuwa kero kupitika, mamlaka zipo kimya
~ Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima ina hali mbaya, Daladala nyingi zinakatisha ruti
~ Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima ina hali mbaya, Daladala nyingi zinakatisha ruti
 
Back
Top Bottom