Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe alikuwa anapumzishwa katika Nyumba yake ya Milele Mkoani Arusha.
Ambapo katika Mazishi hayo viongozi mbalimbali kutoka mkoa wa Songwe wakiongozwa na Mheshimiwa RC Danieli Chongolo wameshiriki katika Mazishi hayo.
Soma Pia: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia
Lakini pia viongozi mbalimbali wa chama na serikali kutoka mkoani Songwe wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Radwell Mwampashe walikuwepo Msibani na kamati mbalimbali za siasa ngazi ya wilaya na mkoa.
Lakini pia viongozi mbalimbali wa chama na serikali kutoka maeneo mbalimbali Nchini ndani ya mkoa wa Arusha na nje ya mkoa wa Arusha walikuwepo .hasa kwa kuzingatia mahusiano mazuri aliyokuwa nayo na watu Mheshimiwa Esther Mahawe wakati wa uhai wake.lakini pia ikumbukwe kuwa amewahi pia kuwa mbunge .
Hivyo kifo chake kimegusa na kuwaumiza watu wengi sana .ndio maana viongozi mbalimbali wamesafiri kutoka maeneo mbalimbali Nchini kwenda mkoani Arusha kushiriki mazishi hayo.
Ambapo katika Mazishi hayo imeshuhudiwa pia Mheshimiwa Sabaya DC wa zamani wa hai akifika msibani na akishiriki katika hatua zote za kuaga mwili wa Marehemu.