Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kaka umelamba teuzi nini mbona una unyenyekevu sana 😹Ni ratiba Ndivyo ilipangwa hivyo. Na ni kawaida kwa kiongozi mkubwa kama Huyo na ambaye alikuwa anafahamika sana.kimbuka amewahi pia kuwa mbunge lakini pia alikuwa DC kigoma huko kabla ya kuhamishiwa Mbozi.
Uliza swali jingine kama lipo nikujibu