Kaka umelamba teuzi nini mbona una unyenyekevu sana 😹Ni ratiba Ndivyo ilipangwa hivyo. Na ni kawaida kwa kiongozi mkubwa kama Huyo na ambaye alikuwa anafahamika sana.kimbuka amewahi pia kuwa mbunge lakini pia alikuwa DC kigoma huko kabla ya kuhamishiwa Mbozi.
Uliza swali jingine kama lipo nikujibu
Hapana sijalamba uteuzi ila kwangu unyenyekevu ni kawaida yangu.Kaka umelamba teuzi nini mbona una unyenyekevu sana 😹
Alisafishwa na mahakama na sasa hizo tuhuma zote zilitupiliwa mbali na mahakamaHilo jambazi lilifurushwa halijawahi kustaafu.
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui utendaloNdio nini sasa senge wewe
Mchicha huoNimekusamehe bure kabisa maana hujui utendalo
Tutamkumbuka sana wana Mbozi.Apumzike kwa amani
Haifuti rekodi ya kuwa mtuhumiwa kwenye kesi ya ujambaziAlishinda kesi zote na kusafishwa na mahakama.