DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki.

Fv2QT1cXoAA4CiR.jpg

Chanzo: ITV
 
Sawa isiishie hapo,wakamatwe pia wezi wa mali ya umma ngazi ya wilaya.
 
Duuuh hii kali, maana wadada siku hizi wanashiriki na waume zaidi ya watano wakudumu bado wale wa leo leo achukue chake aondoke.

Kwa mazingira hayo mpaka muda wafikia zaidi mwezi akipima upepo ampe nani.

Nadhani hiyo sheria itungwe waadhibu walobeba wanaopata mimba bila kutambua mimba ya nani kisha tuendelee
 
Back
Top Bottom