Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya sherehe kwa kila hatua ya uhitimu wa masomo ni hiari ya mtu na asizuiwe.
#KaziNaBata
Umefanya research kidogo labda kujua on how hizi sherehe zinarudisha vipi mwanafunzi kutokutaka kuendelea na shule kwa sababu ya kuridhika na graduation hizo ambazo zimekuwa zikifanyikaYuko sahihi sana! Always anakuwa in right away!
Amina!Elimu ya msingi ni kubwa sana Mtatiro, ni elimu ambayo mwanafunzi anakaa darasani kwa muda mrefu zaidi kuliko elimu zingine zote. Miaka 7 siyo mchezo, kindi kubwa la waliomaliza darasa la saba linamiliki uchumi mkubwa sana na ndilo linaendesha msukumo wa uchumi katika nchi hii.
Kuhitimu darasa la saba ni maendeleo makubwa sana katika hatua ya binadamu. Kama anaamua kufurahi na wanafunzi wenzake tena kwa pesa za wazazi wake tatizo liko wapi? Mbona watu wanafanya sherehe ya siku ya kuzaliwa kila mwaka iweje washindwe kufurahia hatua ya kuhitimu darasa la saba?
Tujenge utamaduni wa kupongezana kwa kila hatua ya jambo fulani linapohitimishwa vizuri. Hii itasaidia wale ambao hawataendelea na masomo ya sekondari, kujiamini zaidi na kuchangamkia fursa mbalimbali za kujenga uchumi kwa nchi yetu.
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2020, pokeeni baraka za mwenyezi Mungu awaangazie nuru ya uso wake, mafanikio tele na kuwapa amani Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously..I see where the DC is coming from..amegundua Taifa letu Lina watu waliobweteka Kwa elimu zao ambazo hazina mchango Mkubwa katika kuleta maendeleo ktk jamii..Mtatiro anaongoza wilaya na ameamua kutumia platform hiyo kutuma ujumbe(wenye kufikiria deep wataelewa) Mbuyu uanza Kuota kama uyoga..Na anachosema mheshimiwa mkuu wa wilaya ni kwamba..wasomi wa nchi hii hawana competition ya taaluma, wakipata cheti wanafanya sherehe but aftermath hawana tija ktk Taifa KAZI kuzunguka na vyeti kutafuta ajira na wakipata changamoto kidogo utawasikia wakilalamikia wageni wanaokuja kuchukua ajira nchini.. Well-done DC ... People has to Smart up... THINKAngeanza kufuta za chekechea kwanza. Kila mtu hupenda kufurahia hatua alofuzu kwenye maisha. Anataka kutuambia miaka saba ya mtoto kwenda shule haikuwa na maana?
Kuagana na watoto wenzao na walimu waliokaa nao miaka saba si kitu kibaya. Labda angeweka muongozo wa namna shughuli itavyofanyika lakini kufuta ninukosefu wa hekima za kiuongozi. Hii na hakika mkuu wa mkoa ataipindua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana tu, kimsingi mwanzo wa maovu uanzia, kwenye sherehe na maandalizi yake watoto wanakuwa tayari ku-commit adultery, piga marafuku DC hata ya form IV, Na tatizo jipya limezuka la wanarika (wenye umri mmoja) sasa ipo hadi kwa watoto miaka 12,ni balaa, wanakusanyana, wanapika, halafu..... Hamna wa kuwasimamia.Umefanya research kidogo labda kujua on how hizi sherehe zinarudisha vipi mwanafunzi kutokutaka kuendelea na shule kwa sababu ya kuridhika na graduation hizo ambazo zimekuwa zikifanyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vyeo vya u DC ni mzigo kwa taifa!!
Hivi unafikiri nani anaweza kudeal na mambo haya, mbunge,diwani hawako tayari kusema ukweli kwa jamii iliyomchagua akihofia kuwakera hata kama anaona mambo yanaaribika, hata kama hauna choo, mbunge hayuko tayari kusema nanyi kuwa ni hatari, anahisi atanekana anawadharau, hiyo ni kazi ya mojawapo ya DC, K/tarafa, na mtendaji kata/kijiji.Yaani inapofikia DC kuwa na mawazo ya kipumbavu nammna hii huwa nasikitika sana,DC inapata wapi muda wa kudeal na mambo madogo madogo kama haya huku ukitumia conclusion za kishenzi hivi ? Basi tu, mambo yapo mengi yenye tija kwa taifa letu yeye anaona sherehe ndo kikwazo,2020, Jpm awe makini sana katika uteuzi wa madc na Rcs
Sent using Jamii Forums mobile app