Hio ni Bachelaor of education hapo Nairobi University unaposema. Niambie Tanzania ni chuo kipi wanafundisha Education kwa miaka minne?Jibu swali maana unaongea uongo.. hata vyuo vya kenya zipo degree kibao za miaka mitatu kama udsm na wakenya wanazisoma hizo za 3 yrs.
Unajua university of nairobi na university of dar es salaam zilikuwa colleges za university moja kubwa inaitwa university of east africa? Chini ya management moja
Kozi nyingi ambazo udsm ni 3 yrs na nairobi ni 3 yrs hivyo hivyo
Acha uongo vyuo vya maana haya nyie wenye pesa hamuendi. Eti Bangarole ndio chuo gani huko vichochoroni?Ni utaratibu kwa wewe maskini usiye na Pesa
Ukiwa na pesa kuna shule kibao Tanzania zinatumia mifumo ya cambridge
Maskini ndio hao wanasoma udsm, Dodoma university
Ukiwa na pesa au dollar huwezi somesha mtoto Tanzania, Ni Umaskini wa watanzania
Mkuu watu wanaokuzunguka wana pesa za kutosha, Angalia aina za marafiki zako
Uelewa wako wa elimu unaishia TCU
Huo mfumo upo kwa ajili ya watoto wa maskini
Mtoto wako kusoma udsm au Udom sio sifa, Wazee wetu walisoma hapo hawakuwa na pesa
Leo hii watu wana pesa, Ukiwa na pesa huwezi mkaririsha mtoto mambo
Not true my friend. Hizo nchi kuna entry requirements huendi hivi hivi. India ambapo ndugu zetu wengi wakiugua wanaenda kutibiwaUkiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.
Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
Wewe unajua wamesoma kwa sifa zipi??Je wakenya waliosoma degree udsm.. wana miaka sawa ya shuleni kama watanzania?
lakini mlisema kasomaELIMU sio sifa ya pekee ya UDC
Soma alama na nyakati mkuu
Mkuu kama umefika udsm utacheka sana sanaAcha uongo vyuo vya maana haya nyie wenye pesa hamuendi. Eti Bangarole ndio chuo gani huko vichochoroni?
Udsm hawaendi vilaza. Vilaza vinakimbilia India na China.
kwani kigezo ni kutokuwa na makuu?Duh..!
Mbona mshikaji yuko poa sana.. Hana makuu..social..
Tumuache apige kazi.
Naona kama kuna watu wana hate..kwani kigezo ni kutokuwa na makuu?
no hate,acha wahoji. hao DC hawalipwi mishahara kutoka kwenye mfuko wa Samia. kuna watu waliteuliwa tukahoji hapa wakatengeuliwa. unakumbuka?Naona kama kuna watu wana hate..
Apo ongeza miaka tena miwili kwa medical student na mwaka mmoja kwa engeneering kozi kwa tanzania
Yaap...no hate,acha wahoji. hao DC hawalipwi mishahara kutoka kwenye mfuko wa Samia. kuna watu waliteuliwa tukahoji hapa wakatengeuliwa. unakumbuka?
Huenda mchopanga ni mmoja wao??????Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.
Kwa mujibu wa gazeti hilo ni kuwa Mchopanga huyo alipata udhamini na moja kwa moja kwenda kwenye masomo hayo kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2009 ambapo aliondoka nchini na kudahiliwa chuoni hapo bila ya kuwa na matokeo hayo.
Upo uwezekano kuwa kwenye elimu ya huyu DC mteule kuna utata na usanii na hata shahada yake ni ya mambo ya usanii.
Anajisemea kuwa anatarajia kwenda chuo kikuu cha Dar es Salaam kusomea shahada ya pili kwenye mahusiano ya umma.
NB: Wapo marafiki zangu kibao waliotokea hapo Bangalore na kujitapa kuwa wana shahada ila walipoambiwa kuleta vyeti wengi wao ni ukweli walitunukiwa shahada zao za kwanza kwa kutumia matokeo ya vyeti vya kidato cha nne kama "Direct entry qualifications" na huenda Mchopanga ni mmoja wao. Je NACTE wameanza lini kuthibitisha kuwa shahada za aina hii ni credible kwa nchi yetu?
Isome tena mada mkuu,Mnashangaa kitu gani?
Kwani kusoma chuo kikuu mpaka usome Form Six?
Prof Mwandosya Mark J, hakusoma Form Six, Bali alisoma DIT Halafu akaenda udsm baadae Aston university
Wahindi kule Posta watoto wao wanasoma ulaya vyuo vikuu vya dollar 50,000 kwa mwaka walisoma form Six?
Wahindi wangapi wanafanya kazi Agha khan na Muhimbili tena mabingwa lakini mbona hawakusoma Form Six
Kenya wanaishia Form Four na kwenda chuo kikuu
Mimi niliwahi fanya kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu na Nilimpata ajira rasmi bila hata matokeo ya mwaka wa pili,
Watu wanaangalia uwezo wa Mtu sio cheti
Kuna vyuo unafanyishwa mitihani kabla ya kuingia ukiweza hata ukiwa darasa la saba Unaanza masomo
Elimu hii ya Form Six ni kuwapotezea watoto muda na maisha ya kutafuta Pesa tu
Miaka miwili Form Five na Six, Mtoto anaweza kujifunza utaalamu wa programming na akawa nguli
Miaka miwili inatosha mtoto kusoma Software mbalimbali na kuwa nguli
Form six ni mfumo wa Uganda na Tanzania wa kishamba sana
Ukiwa na pesa na upo vizuri mtoto unamsomesha kuanzia chekechea ulaya unalipa dollar 60,000 kama Milioni 120 Kwa mwaka
Ukiwa na pesa huna haja ya kusoma elimu yetu hii ya kitanzania ya kupotezeana muda,
Mtoto akimaliza Form Four unamtafutia College Marekani au Uingereza anajifunza mambo ya maana hata mwaka baadae unamlipia chuo kikuu huko huko
Angalia wahindi kule Posta na ni matajiri jinsi watoto wao wanavyokuwa smart kichwani baada ya Form Four, Mtoto anapelekwa college ulaya bei dollar za kutosha
Wabongo tatizo pesa, Watanzania wachache wana uwezo wa kumlipia mtoto ada Milioni 200 kwa mwaka au Milioni 100 kwa mwaka
Watanzania Tuendelee na Bodi yetu ya mikopo huku tukilia lia Retention fee
Ahaaaa
Elimu ya ukweli inatakiwa bungeni na sio kwenye u DC
Kuunga juhidi yenyewe uwe na jinaUkishindwa huko unga juhudi....
NACTE hawatathubutu kufanya vinginevyo kwani itakuwa sawa na kukata matawi waliyokalia. Mimi nina wasi wasi hata huko NCTE shahada zilizopatikana kwa njia hizo zimetamalaki. Niliwahi kufanya utafiti wangu usio rasmi na matokeo yanasikitisha. Wapo wengi humu Tanzania ambao shahada zao ni magumashi.Je NACTE wameanza lini kuthibitisha kuwa shahada za aina hii ni credible kwa nchi yetu?
Kweli kabsa, na ukiona mtu anasema A-level kamalizia Uganda jua huyo ni kilaza.Acha uongo vyuo vya maana haya nyie wenye pesa hamuendi. Eti Bangarole ndio chuo gani huko vichochoroni?
Udsm hawaendi vilaza. Vilaza vinakimbilia India na China.
kweli bongo hakuna upungufu wa kukosa akili, kaa ni hivyo basi enda ukafanywe upasuaji wa moyo na fundi seremalaELIMU sio sifa ya pekee ya UDC
Soma alama na nyakati mkuu